Redio Uhuru Ifungiwe Haraka kwa usalama wa Taifa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Redio Uhuru Ifungiwe Haraka kwa usalama wa Taifa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Matola, Mar 4, 2011.

 1. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,278
  Trophy Points: 280
  Ndugu zangu nimeshitushwa sana na matangazo ya Redio uhuru siku ya jumatano tarehe 2 mwezi 3 mwaka 2011, muda saa 2 mpaka saa 3 usiku. nikiwa naugulia mgao wa umeme huku nikiwa na kiredio changu cha mchina kinachotumia betri niliona nisikilize redio uhuru, kipindi kinaitwa CCM yajenga nchi mtangazaji wa kipindi ni Angel Akilimali, walianza na hotuba ya JK kujibu hoja za CHADEMA huku waki edit ile hotuba na kuweka vikorombwezo vyao, ilo sikulijali, lakini kilichonistua baadae vikakalibishwa vibibi viwili eti ni waasisi wa TANU, hapo ndipo walipoanza kumshushia matusi yasiosemeka Dr Slaa binafsi Na chadema NA wakadiliki kusema hata mabomu ya gongo la mboto ni Dr Slaa ndio ameyalipuwa. nina hakika kama redio nyingine binafsi ndio ingerusha kipindi kile kuwatuhumu viongizi wa ccm basi ingeshafungiwa, Je viongozi wa Chadema na wapenda haki hamfuatilii vitu hivi na kuripoti tume ya mawasiliana na baraza la habari?
   
 2. s

  smz JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2011
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 251
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Redio yenyewe ya ccm, unaotaka wapelekewe malalamiko ni makada wa ccm, unategemea nini hapo. Kese ya tumbili umpelekee nyani unategemea nini??.

  Hizi ndo hadidu za rejea kwenye mikutano ya CDM. Tulishasema ccm wajimaliza wenyewe.
   
 3. kilemi

  kilemi JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2011
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 520
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hakukuwa na muda wa maswali na majibu?
  Wangeulizwa kama alilipua kwa kumwaga petrol na kisha kuwasha kiberiti wangeitika ndio!
   
 4. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,278
  Trophy Points: 280
  Mkuu kwenye vita lazima ujuwe adui anatumia mbinu gani, mimi huwa natumia muda wangu kusikiliza redio za kipuuzi kusikiliza impact zao, kwanza hicho kibibi chenyewe cha kwanza kuhojiwa kilikili kwamba yeye hakusoma na hata kuandika alifundishwa na nyerere sasa hapa hapa ndipo unapoweza weza kupata upeo mpana kwamba ukisikia JK leo anaongea na wazee wa Dar (CCM) UJUWE ASILIMIA 98% ni wazee wa kiwango hicho, kwa hiyo kuna mengi ya kujifunza na kuyachukulia hatua, siamini kipindi kile tena kilikuwa recorded wakipelekewa baraza la habari eti watakaa kimya, si kweli nina imani na baraza la habari na ni wao ndio waliwaclear gazeti la mwananchi kwamba lilionewa na serikali. movement lazima ziwe kila upande kama wewe ungesikia matusi aliyotukanwa Dr Slaa in personal usingejisikia raha hata kidogo.
   
 5. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #5
  Mar 4, 2011
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hayo ya CHADEMA kulipuwa mabomu mimi naweza kuamini kwa sababu huenda wanashirikiana na baadhi ya Maafisa wa Jeshi kulipua mabomu ili wananchi wafe na kujenga chuki ktk jamii kwa faida zao kisiasa!!!!!

  Nchi hii ikiingia ktk machafuko au vita vya wenyewe kwa wenyewe bila shaka CHADEMA watawajibika!!! na tunaiomba Mahakama ya kimataifa ifuatilie kwa karibu hatua zote na kauli za Viongozi wa cdm za kuchohea mahafuko!!!!
   
 6. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #6
  Mar 4, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kwanza hivyo vibibi vichawi! Vinawanga mchana na usiku........vimetuma hivyo...yaani akili ya hivyo vibibi ndo akili ya ccm!
  Mfa maji haishi kutapatapa. Sasa hivi ccm inatapatapa!

  maji ya shingooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!
   
 7. m

  mama kubwa JF-Expert Member

  #7
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 2,412
  Likes Received: 1,973
  Trophy Points: 280
  hawa ccm hawajifunzi mie nilihudhuria mkutano mmoja wa ccm wakati wa kampeni alisimama katibu mmoja wa ccm mwanamke alikuwa akimtukana dr slaa matusi ya nguoni mwanzo hadi mwisho watu niliokuwa karibu nao walishangaa na kudai hawataipa ccm kura hata kwa dawa na huo mkoa ccm imefanya vibaya mno. nyie vihiyo matusi hayamsaidii mtanzania matatizo yake mnajiua wenyewe halafu mnakimbilia usalama wa nchi unapotea mmekwisha.
   
 8. Bless the 12

  Bless the 12 Member

  #8
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 61
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Du hiyo hatari sijaipata bado, yani wanachama wote wamekuwa waimba taarabu kama mkuu wao, wala sishangai
   
 9. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #9
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,278
  Trophy Points: 280
  Uzuri mashabiki wa CCM kuwagunduwa ni rahisi mno wala hauitaji kuwa na degree, sasa angalia mvivu wa kufikiri kama huyu ambaye akupaswa kuwa na ubongo kwani uti wa mgongo ungemtosha, hivi CHADEMA ingekuwa na support ya jeshi tena kambi ya gongo la mboto ndio stoo ya silaha zote, si ingetumia ushawishi huo wa jeshi kumng,oa madarakani huyu mkwere anayewapa maisha ya mateso watanzania?
  Jamani hivi leo hii sifa kuu ya kuwa mwanaCCM ni lazima uwe **** au zezeta? my God!
   
 10. M

  Mzee Mzima Senior Member

  #10
  Mar 4, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 159
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mfamaji haachi kutapatapa, sasa mpaka wameanza kuita na vibibi kuwasaidia, nahisi wangeulizwa mwenyekiti wao ni nani wangejibu ni nyerere. acha waendelee kupiga kelele, their beautiful days are numbered
   
 11. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #11
  Mar 4, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Pole lakini wewe ulikuwa unataka kusikia nini kwa kusikiliza Redio Uhuru? Labda kama ni mpenzi wa taarabu sawa tunaweza kusema ulivutwa na mziki ukajikuta umenogewa!
   
 12. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #12
  Mar 4, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wewe Zubeda, unataka kutuaminisha kuwa wanajeshi wote waliokuwa makambini ni CHADEMA? Uwe unamwogopa Mungu
   
 13. Sakoyo

  Sakoyo Senior Member

  #13
  Mar 4, 2011
  Joined: Aug 23, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  You must be sick somewhere, come for check ups!!
   
 14. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #14
  Mar 4, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Hawa watu wa ajabu sana, Ingekuwa Chadema wamesema hayo ilikuwa wafunguliwe mashtaka ya uchochezi na kuvunja amani.
   
 15. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #15
  Mar 4, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mmbea na Mwongo Mkubwa wee!
   
 16. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #16
  Mar 4, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,089
  Likes Received: 885
  Trophy Points: 280
  zubeda kweli hukutakiwa kuwa na ubongo,matope na uti wa mgongo vingekutosha. umeolewa kweli? mmeo ana hasara.
   
 17. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #17
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,278
  Trophy Points: 280
  Unapomuhita mtu muongo toa na data kuthibitisha uongo wa unaemtuhumu, kumbuka JF sio jukwaa la mipasho hapa ni home of Great thinkers.
  lakini si kosa lako unahitaji kufanyiwa maombi, kwani mpaka leo mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kuisupport CCM.
   
 18. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #18
  Mar 4, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Jiepushe kabisa kusikiliza viredio uchwara kama hivi. Utapata presha ya bure.
   
 19. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #19
  Mar 4, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Acha kulalama kama watu wa chama chako.
  Hata tarehe na siku ulizotaja ni za uongo...
  Si lazima ujaze umbea kwenye forum hata kama umeshapumbazwa na cdm.
   
 20. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #20
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,278
  Trophy Points: 280
  Tofauti yangu na yako ni moja tu, mimi natumia ubongo kufikiri, wewe unatumia tumbo na makalio kufikiri kwa hiyo huwezi kuelewa nilichokiandika. pili kuhusu kulalama CCM ndio wanaolalama mpaka mwenyekiti wenu wa chama JK, na kuthibitisha kwamba CCM imekumbwa na kiwewe na wanakosa raha kwa sababu ya CHADEMA leo katibu mwenezi wenu Chiligati ametoa tamko lenu la CCM ili viongozi wa CHADEMA wakamatwe, ole wenu kama mtakuwa vipofu kufikia point hiyo, hapo ndio mtajuwa nini maana ya nguvu ya umma.
   
Loading...