Redio mpya yaanzishwa Dar

Redio mpya yaanzishwa Dar

Asante kwa taarifa mkuu ....nikirudi tz mimi ni full mziki...sipendagi mazungumzo
Sawa mkuu asante kwa kukushukuru pia,,hizi redio zinagonga ngoma sana ,,hasa hii 103.3,,inapiga za nje tu, kwa sisi tusiopenda miziki ya mondi na kiba,hizi ndio redio za kusikiliza
 
Naona times ishajifia tayari watangazaji wote wakali washaacha kazi
 
Mtangazaji wake ni Yule aliyekua mzee wa kipusa miaka ya 2000 pale radio one, napenda sana old schools zake [HASHTAG]#AM24[/HASHTAG]
 
Na mimi jumapili ya leo wamenipata, tangu kumi mbili asubuhi napata mziki wa Mwambao Asilia, taarabu za zamani Asilia, za kutuliza Roho, sio za kisasa za kurusha Roho.

007 james Bond
 
Back
Top Bottom