Redio mpya yaanzishwa Dar

Redio mpya yaanzishwa Dar

juvenile davis

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2015
Posts
4,752
Reaction score
4,475
Haya haya,kwa wale wote ambao mnapenda muziki basi kuna redio mpya hapa Dar,ukiachilia 103.3 ambayo wanapiga ngoma bila matangazo tena ngoma kali,basi ipo hii nyingine 98.5 ni hatari ,maana wanapiga old school hatari za miziki ya aina zote kasoro taarabu...haya kwa wale wenzangu na mimi wapenda muziki hizo hapo redio za kijanja
Kwa wale wenzangu na mimi ambao hampendi muziki wa bongofreva ,msiopenda muziki uliojaa sijui team mondi,sijui team kiba ,muziki wa hovyohovyo basi ni wakati wenu wa kutune hizo redio hapo..binafsi sijasikiliza redio zingine huu mwezi wa nne sasa hata nyimbo za bongo mpya sizifahamu na sihitaji Kuzifahamu kamwe,nipo bize na 103.3 nikiamua ni 98.5
 
Haya haya,kwa wale wote ambao mnapenda muziki basi kuna redio mpya hapa Dar,ukiachilia 103.3 ambayo wanapiga ngoma bila matangazo tena ngoma kali,basi ipo hii nyingine 98.5 ni hatari ,maana wanapiga old school hatari za miziki ya aina zote kasoro taarabu...haya kwa wale wenzangu na mimi wapenda muziki hizo hapo redio za kijanja
Inaitwaje?
 
Sasa mkuu unapromote radio bila kuhitaja jina.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Program zao ziendane na hali halisi ya Kitanzania isije ikawa kama TV moja hapa bongo inaonyesha michezo ambayo Haitakaa itokee Bongo kuicheza kama mashindano ya magari ya langalanga na mashindano ya ndege
 
Back
Top Bottom