Redio free, na story ya jamaa kula kinyesi

chingas

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2014
Posts
261
Reaction score
113
hii story ilikuwa inarushwa hewani na redio free na bwana mmoja ambae sikumbuki jina lake wala kipindi chenyewe, ila ni story ilimuhusu yeye mwenyewe katika harakati zake za kutafuta maisha alitamani sana kuwa mwana mazingaombwe akaenda kule kongo kwa mtaalam wake na test ya kwanza aliyopewa ilikuwa ni kula kinyesi cha binadamu.
sasa baada ya hapo sikusikia tena nini kiliendelea je alifanikiwa kula kile kinyesi alichoandaliwa kama chakula.
please mwenye kuijua hii story iliishia wapi anisimulie japo kidogo
 
Endelea kusikiliza Redio Free Africa utaisikia!!!
 
Alikula chote. Baadae akapata bahati ya kupata mgao wa escrow. Kula na weee ubahatike
 
Endelea kusikiliza Redio Free Africa utaisikia!!!

Ni story ya siku nyingi sana kaka ila mi nilikuwa safarini sikujua kilichoendelea baada ya mitambo kukatika na sikubahatika kusikia tena mfululizo wa hiyo story
 
Pawa mang'wana

yes, alikuwa power Mangwana lakini sikumbiki kile kipindi,
vipi alikula kile kinyesi cha binadamu au lah, na ni kweli kilikuwa kinyesi! na kama alikula nini kiliendelea! nipukuchulie basi kidogo Mr raphael
 
naski alikukaribisha ukala nae
 
Back
Top Bottom