Redies and gentlomen

Mkuu hicho cheo nilishamwachia Kaizer siku nyingi sana baada ya kuoa.

CC Lady doctor.
CC DEMBA.

halafu mi nawashangaa wanavyo jilazimisha kukuita mswati, waambie wakome, mswati ni Kaizer

maji yana tabia moja, huwa hayazuiliki, yanaonyeswaga njia tu inapobidi. vivyo hivyo na ukweli....huwa haukubali kupindishwa...sasa basi hebu tuache historia ifanye kazi yake apa

CC Arushaone ....kwa kumbukumbu
Lady doctor .....kwa taarifa

BCC KOKUTONA Arabela Filipo Lily Flower Mzee wa Rula PakaJimmy
 
Last edited by a moderator:
Nimerisivu kopi asante sana kwa mmisio
 
Last edited by a moderator:
Free Thinker,

Wanasema ng'ombe haozi maini :tongue:. Ule uwezo wa pande zile mie nilisha staafu kabaki mdogo wangu gfsonwin. Na kama ujuavyo baba watoto Kaizer hawezi kutoshelezwa na mmoja :wink2: Hivyo ikabidi mimi na Gf tukubaliane kabisa achague mwingine tumfahamu badala ya kuibiwa huko vichochoroni. Lol.

Nashukuru sana kwa kunilindia huyu baba, ila naombeni mumuache mdogo wangu DEMBA apumuwe! 😛hoto:
 
Last edited by a moderator:
aiseee
 

ahsante. unajua mke mwenza watu wanataka kutugombanisha tu. tusiwape nafasi kabisa.
 
Mr. Free Thinker are you a genius ?
Either an extraordinary person!
Coz if you pursue happiness you are an ordinary person!
If happiness pursues you , you are an extraordinary person!

Shem nimeipenda....vp ulipata mawasiliano na TANGA?

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…