Star TV Member Joined Jan 1, 2008 Posts 21 Reaction score 26 Nov 3, 2012 #1 Ni mara nyingine tena tunafuraha ya kurusha matangazo ya moja kwa moja ya fainali za Miss Tanzania, 2012. Unaweza kufatilia matangazo yetu kwenye link ifuatayo: Radio Free Africa Tanzania*|* STARTV LIVE ​Ahsanteni.
Ni mara nyingine tena tunafuraha ya kurusha matangazo ya moja kwa moja ya fainali za Miss Tanzania, 2012. Unaweza kufatilia matangazo yetu kwenye link ifuatayo: Radio Free Africa Tanzania*|* STARTV LIVE ​Ahsanteni.
O Otorong'ong'o Platinum Member Joined Aug 17, 2011 Posts 39,135 Reaction score 28,598 Nov 3, 2012 #2 Star TV tafadhali msisahau kutupia picha za tukio.. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mchizi JF-Expert Member Joined Apr 23, 2009 Posts 3,042 Reaction score 7,421 Nov 3, 2012 #3 Star TV said: Ni mara nyingine tena tunafuraha ya kurusha matangazo ya moja kwa moja ya fainali za Miss Tanzania, 2012. Unaweza kufatilia matangazo yetu kwenye link ifuatayo: Radio Free Africa Tanzania*|* STARTV LIVE ​Ahsanteni. Click to expand... Rekebisheni sauti , hamna sauti
Star TV said: Ni mara nyingine tena tunafuraha ya kurusha matangazo ya moja kwa moja ya fainali za Miss Tanzania, 2012. Unaweza kufatilia matangazo yetu kwenye link ifuatayo: Radio Free Africa Tanzania*|* STARTV LIVE ​Ahsanteni. Click to expand... Rekebisheni sauti , hamna sauti
J JATELO1 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2011 Posts 1,230 Reaction score 304 Nov 3, 2012 #4 Ni picha tu LAKINI SAUTI HAKUNA. Angalieni hilo la sauti Star TV tafadhali.
Star TV Member Joined Jan 1, 2008 Posts 21 Reaction score 26 Nov 3, 2012 Thread starter #5 Wana JF, ahsanteni kwa kutujulisha. Tumerekebisha sauti. Enjoy Star TV online!
BHULULU JF-Expert Member Joined Jun 28, 2012 Posts 4,994 Reaction score 2,045 Nov 3, 2012 #6 Tunashukuru kuwapata online lakini bado kuna tatizo la kukwama kwa matangazo
Mzee wa Rula JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 8,169 Reaction score 3,359 Nov 3, 2012 #7 Star TV said: Wana JF, ahsanteni kwa kutujulisha. Tumerekebisha sauti. Enjoy Star TV online! Click to expand... Star TV mpo juu japokuwa mashindano haya ya vichupi siyafagilii kabisa. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Star TV said: Wana JF, ahsanteni kwa kutujulisha. Tumerekebisha sauti. Enjoy Star TV online! Click to expand... Star TV mpo juu japokuwa mashindano haya ya vichupi siyafagilii kabisa.
Mzee wa Rula JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 8,169 Reaction score 3,359 Nov 3, 2012 #8 BHULULU said: Tunashukuru kuwapata online lakini bado kuna tatizo la kukwama kwa matangazo Click to expand... Kama unaangalia kupitia online sometimes net zinakuwa slow na kupelekea kukwama kwa matangazo.
BHULULU said: Tunashukuru kuwapata online lakini bado kuna tatizo la kukwama kwa matangazo Click to expand... Kama unaangalia kupitia online sometimes net zinakuwa slow na kupelekea kukwama kwa matangazo.
Chimunguru JF-Expert Member Joined May 3, 2009 Posts 10,678 Reaction score 4,378 Nov 3, 2012 #9 bila ubishi, nawafagilia sana Star TV