Redd's Miss Tanzania.

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,983
12,702
Haya mashindano mbona mwaka huu yamejaa ubabaishaji? Eti Lissa Jensen ndiye mwakilishi wa nchi, wakati wawakilishi wa mikoa bado wanatafutwa!
 
Huyu Mwanamke si alishakuwa miss miaka ya nyuma mbona tena kawa miss tena hivi wanatumia vigezo gani kuwapata hawa mamiss.
 
jamani msilalamike tu kwa vitu msivyovijua.. Lundenga alilieleza mapema kuwa miss world mwaka huu yanawahi ni mwezi wa 8 na sisi mwezi wa nane au tisa ndio tunatoa mwakilishi. Hivyo tusingekuwa na mwakilisha, hivyo kumefanyika kumtafuta mwakilishi wa dharula. ndio imefikia kumpata Lisa Jensen.
 
Tunasindikiza...
 
hapo kweli ni goma lake lkn km vile hawaendani vile, well wenye BBM ukiangalia PIN yake 2936A8AA anamwekaga as DP yake

Mh kaka hii biashara nn???
Mnasahau kuwaa miaka ya nyuma haya mashindano main sponsor alikuwa Vodacom ambae alikuwa bigwa wa kucheza na Media ss leo Redds mh aibu yao!!!!!
 
SAM_2760.JPG

Huyu hapa Miss mwenyewe...

zxx.jpg
 
dah....!! Haya ya kweli Muuza Sura???
asilimia mia mzee!hawa wadudu hata wewe ukitoa single ikihit basi utawanawa sana!na kama umejaaliwa bakora na pumzi za kutosha katika mchezo wa kiutu uzima, basi wanatangaziana hapo utawapanga balaa!......sasa pimbi kama timbulo naye wa kung'oa demu wa ukweli?
 
muuza sura cha kundharau tim nini wakati wenyewe mpaka wamgombea acha zako!
 
Ha ha ha ha!!eti Tumbulo wasanii wengine bwana hawanogi kabisa ata wafanyeje..
 
Huyu Mwanamke si alishakuwa miss miaka ya nyuma mbona tena kawa miss tena hivi wanatumia vigezo gani kuwapata hawa mamiss.

bajeti ya kuendesha shindano mkuu,sunajua wazito walijitoa...hapa uinaepukwa aibu.
 
muuza sura cha kundharau tim nini wakati wenyewe mpaka wamgombea acha zako!
shosti....unajua wanachogombea kwa timbulo?.......inasemekana kazi anapiga kwa kupania!dogo anatuburuza mpaka wa mjini!si unajua watu wa bush katika nyanja flani!otherwise timbulo local tu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom