Miye sijui kwa kweli! Watu wataona meno na wamedhamiria. Niko bwejuu najificha walahi sijui. Redcross wasema wameshinda. Wanasema hiyo ilikuwa awamu ya kwanza. Kumerauka! Zamu yao..... Mwendo wa milio. Na bado. Naye nye nyie
Walipe waache uhuni.
Sasa hivi watakuwa wamejifunza ubabe wa madaraka hausaidii.
MIMI NDO AMIRI JESHI MKUU.haya kipo wapi?na hapo ni vijana ambao hata 1000 hawafiki lakini jasho limewatoka vipi ingekuwa Kila mkoa wangeweza?