Kiranga hebu putia uzii huu uone hoja zako kama hazijakaa ki ufuasi wa bwana Darwin.
www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/572236-nahitaji-majibu-kwa-maswali-yafuatayo.html
Hebu soma mawazo yako haya kama nayo hayaashirii kuwa wewe ni mdarwinism
Kwa nini mungu muweza yote, mjuzi wa yote na
mwenye upendo wote ajifiche kutoka kutaka
kujulikana kwa uhakika wanakokufanya
wanadamu?
Kwa nini mungu awe ni kitu cha kuamini, na si
kitu cha kujua?
Kati ya Darwin na Wallace nani alianza?"Hazijakaa ki ufuasi wa Darwin" au "ni za ufuasi wa Darwin".
Kuna tofauti kubwa hapo.
Na kipimo unachotumia ni kipi?
Na kwa nini Darwin na si Wallace?
Hujajibu post ya juu ya hii niliyowuote bado.
Nimekuuliza "kabla ya Yesu" inaishia wapi?
Hujanijibu.
Sasa unanikimbia. Nionyeshe wali ipo Malaysia Airline MH 370?
Prove to me that Malysia Airline ili MH370 iliwai kuwepo?
Nani anakimbia sasa?
What does this have to do with MH370?
Nimesema kwamba MH370 iliwahi kuwepo?
Kwa nini ni prove kwmba iliwahi kuwepo?
Kati ya Darwin na Wallace nani alianza?
ok kama wewe ni mfuasi wa Wallace basi wewe ni mwallaceism. Lakini vyovyote itakavyokuwa, ni lazima utakuwa ni mfuasi wa mmojawapo wa atheist.
Jibu swali bana.
Si ndio kukimbia huku?
Swali langu lipo pale pale: Prove to me that Malysia Airline MH370 iliwai kuwepo?
Nani kasema mimi ni mfuasi wa Wallace?
Tatizo una draw conclusions na ku connect the dots kwa non sequitur left right and center.
Nani kakwambia ni Imani? Au ndio zile zile notions zinakusumbua. Stop assuming when you post your malarkey.
Wapi niliwahi kusema kwamba iliwahi kuwepo?
Mbona unataka ni prove kitu ambacho sikusema?
Does that make sense?
Nani kakwambia ni Imani? Au ndio zile zile notions zinakusumbua. Stop assuming when you post your malarkey.
Hebu lete ushaidi kusaidia madai yako ya "IMANI"
Kama si imani prove basi kwamba mungu yupo, na prove kwamba si imani.
Kumbe hujui? Inashia kwa Yesu. I just blew your fiendish brain.
Sasa unapinga nini kama teyari Prophecy ilisemwa mapema. Wewe unamtumia Yesu wa 630 baadae. Zimekamilika kichwani mwako wewe. Why using Jesus aliye zaliwa 630 years baadae. Hivi unaelea nini unasema au ndio non theists dismiss syndrome imeanza kufanya kazi.
Kabla ya Yesu inaishia kwa Yesu.
Hilarious.
Prove that god exists.
I told you. Weka facts zako kabla hujazungumza na experts. I blew your fiendish brain.
Before Jesus there was Jesus. You can't comprehend that.
Umebakia kubwabwaja tu.
SASA NARUDIA KWENYE SWALI LANGU LILE LILE UNALO JARIBU KULIKIMBIA:
Prove to me that Malysia Airline MH370 iliwai kuwepo?
Are you going to exercise "mental paranoia" again?
Wewe uko deranged.
"Before Jesus there was Jesus".
That about sums it all, Jesus freak.
Unaniambia ni peove kwamba MH370 iliwahi kuwepo, kwani mimi nilikwambia kwamba iliwahi kuwepo?
Wewe unayesema kwamba mungu yupo, huja prove kwamba yupo mpaka.dakika hii.
Matthew 22:29 Jesus answered and said to them, Ye do err, not knowing the scriptures, nor the power of God na Petro akaeleza hivi
2 Peter 1:20 Knowing this first, that no prophecy of the scripture is of any private interpretation.
Hao akina Kiranga na Nyani Ngabu ni watu wanaosoma maandiko kama gazeti ndio maana.