wengine unabidi kuwapotezea tu maana biblia inaniasa hivi 2 Timotheo 2:23 Walakini uyakatae maswali ya upumbavu yasiyo na elimu, ukijua ya kuwa huzaa ugomvi. Na pia 2 Timotheo 4:4 nao watajiepusha wasisikie yaliyo ya kweli, na kuzigeukia hadithi za uongo.
ilitabiriwa hivi
Joel 2:31 The sun shall be turned into darkness, and the moon into blood, before the great and terrible day of the LORD shall come.
"Kabla hata ya Yesu" inaishia.wakati gani?
Na kitabu cha Joel kiliandikwa wakati gani?
Bora mimi.nikiyeshindwa.maisha, wewe umeshindwa kufikiri.
You don't know a thing zaidi ya notions and dogma fallacies.
Mimi ninaye question uwepo wa mungu ulio dogmatic, na wewe unayenishutumu kwa kuuliza maswali magumu, nani anafuata dogma hapa?
Unafahamu maana ya dogma?
Think before you spew dirt. The verse teyari is before Jesus, wewe unaenda mbele. Joel is prior Jesus, wewe unaenda baada ya Verse. HUJUI KUFIRI NI WEWE KAFIRI.
Why Jesus and not Muhammad?
Darwin is DEAD.
Una question Mungu ambaye hayupo. You must be insane. I mean how much low can you go? That is dogma fallacy.
Thibitisha hilo.
Halafu thibitisha mungu yupo.
Unajizidishia mashtaka tu.
Kabla ya Yesu ni mbele kivipi? Mbele ya wapi?
You ask me why Jesus and.not Muhammad, the prophecy was from the Bible and not Quran, Jesus is the yardstick of time in Christendom, even the years are measured by his birth.
Go grab a book and educate yourself.
Thibitisha hilo.
Halafu thibitisha mungu yupo.
Unajizidishia mashtaka tu.
Though Darwin is a dead man, but he left his teaching to this earth so as to lead astray people like Kiranga and many other atheists.
Mungu sio kitu cha bei Raisi, eti kwasabau Mpinga Mungu kashindwa kumpata basi hayupo, sawa na yule MRUSI aliye sema Malaysia Airline MH370 haikuwai kuwepo, kisa haijapataikana. POOR REASONING KATIKA CENTURY HII.
Nina question imani ya mungu ambaye hayupo.
Learn to think simpleton.
Kati yangu ninayequestion imani.na wewe unayeimeza nzima nzima na kujataa maswali nani anafuata dogma?
Thibitisha kqamba mungu yupo.
Kuna nyuzi moja niliwahi anzisha na huko ndiko ulipoandika hoja zako za u atheist though kuna post moja uliwahi dai kwamba you are working with the catholic church.
Si nilikwambie jifunze kufikiri wewe kafir. Joel Prophecy teyari ni before Jesus birth. Wewe unatumia na au unamtumia Yesu aliye zaliwa 630 years baadae. Huwezi tumia argument yako iliyo kosa mshiko. Huwezi sema whatever took place kabla ya Yesu huku uki-quote Joel ambaye teyari amesema hiyo aya 630 before Jesus. TUMIA AKILI UNAPO POST. SIO KILA MTU HAPA NI ZUZU KAMA WEWE.
Nimekuuliza "kabla ya Yesu" inaishia wapi?
Hujanijibu.