Usijisumbue bure, kama huamini endelea na hiyo dili la kijinga utajikuta umepoteza muda garama umeingia na huna la maana ulilopata kuanzia jan_ dec hakuna ulilofanya. Hapo ndg utapiga mpk viraka kwa tumaini mfu la utajiri hewakama una Red Mercury nina wateja wanaohitaji sana Red Mercury.... PM me please
Red mercury - Wikipedia, the free encyclopediaRed mercury is a hoax substance of uncertain composition purportedly used in the creation of nuclear bombs, as well as a variety of unrelated weapons systems. Red mercuric iodide is a poisonous, odorless, tasteless, water-insoluble scarlet-red powder that becomes yellow when heated above 126 °C, due to a thermochromatic change in crystalline structure.[SUP][1][/SUP][SUP][2][/SUP] However, samples of "red mercury" obtained from arrested would-be terrorists invariably consisted of nothing more than various red dyes or powders of little value, which some suspect was being sold as part of a campaign intended to flush out potential nuclear smugglers. The hoax was first reported in 1979 and was commonly discussed in the media in the 1990s. Prices as high as $1,800,000 per kilogram were reported.[SUP][3][/SUP]
Sio kweli....mmenilaza maporini kwa mambo ya hovyo kama hili ...Mara lupia...mara birika.....uongo mtupu.
Wakuu mie mwenyewe nilipotezwa maporini miezi miwili. haya mambo ni ujinga tu, achana nayo. utaishia kupata mastori ya kufikirika tu na unatajiwa utajiri wa kukupumbaza
Mkuu tupe story ilikuwaje ili watu wajifunze maana rafik zangu pia washataka kutapeliwa na hawa jamaa wanaojifanya wanatafuta hiyo kitu.
Harafu baadaye unapigiwa simu na mtu anajifanya anataka kukuuzia utaambiwa utume pesa hakupatie.
Ukituma tu namba zao hazipatikan tena
wana kawaida moja ya kusingizia kuwa mecury inaharibu magari na kuwa safari zake zina mikosi sana. kwa hiyo watakwambia wamekwama njiani hata mwezi. niliuza tv yangu, redio nikawatumia kahela kangu ka akiba kalikobaki mwisho wa siku jamaa hawaonekani. nikaamua kuwafuatilia dodoma NARCO waliponiambia kuwa wamefika lakini wapi..... kumbe chenga tu. Kufika pale wakaniambia mmoja wao kaugua amepelekwa Engusero kwa matibabu. Nikawafuata hukohuko lakini wapi hawapo. Hapo ndo nikajua kuwa nimeingizwa mjini.
Mimi mwanaume interactive. nikapata mwenyeji pale nikakaa kwake siku kadhaa. naye kumbe ndo wale wale wa stori za marupia, kanipampu weeeee, tukazifuata Kibiraashi tanga huko, kufika huko chafu. Tukarudi, nikakutana na mndorobo mmoja akaniambia yeye ana maji (Mercury nyekundu). Nikaanza kudili naye siku zikaende bila mafanikio.
Nakwambia nilitoka kule kama chizi kudadadeki, ukinitazama huwezi nitambua kama mimi ni a UNIVERSITY STUDENT. Tamaa ya mahela ya haraka ni noma wakuuu
mfano wao wanakutolea kwa bakhressa kuwa aliuza mercury ndy kawa bilionea duh jamaaa waongo sana...yote wanataka kukulia hela zako tuWakuu mie mwenyewe nilipotezwa maporini miezi miwili. haya mambo ni ujinga tu, achana nayo. utaishia kupata mastori ya kufikirika tu na unatajiwa utajiri wa kukupumbaza
duuuh,,, noma saaaana
Ahsante sana mkuu kwa kutupasha habari..!! Hyo red mercury inasaidia kitu gan hasahasa na mfano kama mtu anayo anaipataje pataje.??? M mgen sana huko