Records za matusi kwa g55

Records za matusi kwa g55

Ngwathra

Platinum Member
Joined
Jul 11, 2007
Posts
5,912
Reaction score
11,106
Wanabodi tumeona watu wanajitoa Chadema siku za karibuni na wote wamekua wanatoa sababu kubwa 3, moja kwamba walimuunga mkono Mheshimiwa F. A. Mbowe, mbili wanabaguliwa so wanaenda kusiko na ubaguzi na tatu wametukanwa/wanatukanwa.

Sisi kama wanajamii kwa kuweka kumbukumbu sawa na kutenda haki kuna haja ya kuorodhoresha waliotukanwa na matusi waliyotakanwa, tuweze kutendea haki justification zao. Kujitoa chama ulichokipigania ujana wako wote kwa nguvu na mali sio kitu kidogo so tuone matusi yanayoweza kufanya mtu mzee kama Kigaila akaacha chama yatakua ni makubwa na mapya kiasi gani ambayo hajawahi kutukanwa maisha yake yote aliyoishi ya nusu karne.

Mimi binafsi sijasikia wala kuona hayo matusi iwe kwenye maandishi, clips wala voice, wanayotukanwa hawa watanzania wenzetu. Kwa heshima na taadhima wanabodi mliosikia au kuona hebu wekeni hapa tuyaone katika aina yoyote ya media, sauti, picha, screenshot, video clips etc., tujiridhishe na kupima

Vinginevyo ibaki tu ni mkono wa kaka abdu.l unavua watu uchi na utu wao kama tulivyodokezwa hapo nyuma kwamba kuna uvunaji wa fweza toka kwa huyu kijana kusambaratisha hiki chama tishio kwa mama yetu.

For the benefit of doubts nawakilisha...
 
For the benefits of doubts nawakilisha...
Choo ni lazima kisafishwe
 
Worse still, mitaani kuna minong'ono baadhi yao wana mahusyano ya karibu na wale makovid. Ati kuwa wanashindwa kuuma mkono unaowalisha - na eti hayo mahusiano yana utamu wake, ati ukweli mchungu ...nk. Jamani umbea ....duh!
 
Jamani tuelewane, hii mbinu yao imebuma na ni ya kizamani sana.
Hao Njaa55 wako mijini na wanapambania matumbo yao lakini huko field ambako ndiko kuliko na raia wengi, maisha halisi na ya ukweli sio ya kufake kuko tofauti kabisa na haya ya press za kila siku.
Luhanga Mpina, mbunge mkweli toka Kisesa amejaribu kuusema ukweli lakini watu hawajamuelewa.
 
Attachments

  • IMG-20250511-WA0042.jpg
    IMG-20250511-WA0042.jpg
    70.7 KB · Views: 21
Hao ni wachumia tumbo tu. Wameona wakiendelea kubakia Chadema kama wanachama tu wa kawaida, wangekufa njaa. Watu kama Salum Mwalimu, John Mrema, Benson Kigaila, nk. Miaka nenda walikuwa wanakula tu mishahara na posho huku wakiwa hawana tija yoyote kwenye chama.
 
Jambo moja lipo bayana ni kuwa Mbowe yuko nyuma ya kundi hili na ndiye sponsor wao.

Hii ipo wazi kabisa kwa sababu wote wanamtaja na hajawakana hadi leo, kwa muungwana yeyote angetoka na kusema kitu!
 
Wanabodi tumeona watu wanajitoa Chadema siku za karibuni na wote wamekua wanatoa sababu kubwa 3, moja kwamba walimuunga mkono Mheshimiwa F. A. Mbowe, mbili wanabaguliwa so wanaenda kusiko na ubaguzi na tatu wametukanwa/wanatukanwa.

Sisi kama wanajamii kwa kuweka kumbukumbu sawa na kutenda haki kuna haja ya kuorodhoresha waliotukanwa na matusi waliyotakanwa, tuweze kutendea haki justification zao. Kujitoa chama ulichokipigania ujana wako wote kwa nguvu na mali sio kitu kidogo so tuone matusi yanayoweza kufanya mtu mzee kama Kigaila akaacha chama yatakua ni makubwa na mapya kiasi gani ambayo hajawahi kutukanwa maisha yake yote aliyoishi ya nusu karne.

Mimi binafsi sijasikia wala kuona hayo matusi iwe kwenye maandishi, clips wala voice, wanayotukanwa hawa watanzania wenzetu. Kwa heshima na taadhima wanabodi mliosikia au kuona hebu wekeni hapa tuyaone katika aina yoyote ya media, sauti, picha, screenshot, video clips etc., tujiridhishe na kupima

Vinginevyo ibaki tu ni mkono wa kaka abdu.l unavua watu uchi na utu wao kama tulivyodokezwa hapo nyuma kwamba kuna uvunaji wa fweza toka kwa huyu kijana kusambaratisha hiki chama tishio kwa mama yetu.

For the benefits of doubts nawakilisha...
Wanatukanwa kwa sababu ya usaliti na undumilakuwili wao. Wajinga sana.
 
jamaa wako sahihi kuhama kwa maana watakufa njaa nani atawapa posho za bure

jamaa hawapo sahihi kwa maana ya sababu wanazo toa, wao wangeondoka kimya kimya

wengi wanao ondoka hata ushawishi hawana, zaidi wao ndio walishawishiwa kuingia kwenye siasa na wakabebwa kupewa nafasi
 
Back
Top Bottom