Masagala
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 3,476
- 6,471
Wanataka account zijaeHebu ona mkuu jinsi wanavyo umbuliwa kwa kauli zao wenyewe mchana kweupe.
View attachment 3331441

Mimi nashauri Chadema wabaki kuboresha na kurekebishana kwa waliobaki ili nao wasiondoke. Kwamba sema, tusi gani umetumanwa sioni mantiki kwasababu mtu anaweza akasema ," wewe una akili nyingi" bado likawa tusi kwa aliyeambiwa na lisiwe tusi kwa mwingine!Wanabodi tumeona watu wanajitoa Chadema siku za karibuni na wote wamekua wanatoa sababu kubwa 3, moja kwamba walimuunga mkono Mheshimiwa F. A. Mbowe, mbili wanabaguliwa so wanaenda kusiko na ubaguzi na tatu wametukanwa/wanatukanwa.
Sisi kama wanajamii kwa kuweka kumbukumbu sawa na kutenda haki kuna haja ya kuorodhoresha waliotukanwa na matusi waliyotakanwa, tuweze kutendea haki justification zao. Kujitoa chama ulichokipigania ujana wako wote kwa nguvu na mali sio kitu kidogo so tuone matusi yanayoweza kufanya mtu mzee kama Kigaila akaacha chama yatakua ni makubwa na mapya kiasi gani ambayo hajawahi kutukanwa maisha yake yote aliyoishi ya nusu karne.
Mimi binafsi sijasikia wala kuona hayo matusi iwe kwenye maandishi, clips wala voice, wanayotukanwa hawa watanzania wenzetu. Kwa heshima na taadhima wanabodi mliosikia au kuona hebu wekeni hapa tuyaone katika aina yoyote ya media, sauti, picha, screenshot, video clips etc., tujiridhishe na kupima
Vinginevyo ibaki tu ni mkono wa kaka abdu.l unavua watu uchi na utu wao kama tulivyodokezwa hapo nyuma kwamba kuna uvunaji wa fweza toka kwa huyu kijana kusambaratisha hiki chama tishio kwa mama yetu.
For the benefit of doubts nawakilisha...
Ni mjinga pro max.Hebu mkuu niambie, hapo ukimwita mjinga utakuwa umemtukana? Hapana, hiyo itakuwa sifa kwake
G55 mnawaita NJAA 55. Hilo kama sio tusi ni nini? Kwa nini msiwapinge kwa hoja zao bila kuwakejeli na kuwaita majina mabaya?Wanabodi tumeona watu wanajitoa Chadema siku za karibuni na wote wamekua wanatoa sababu kubwa 3, moja kwamba walimuunga mkono Mheshimiwa F. A. Mbowe, mbili wanabaguliwa so wanaenda kusiko na ubaguzi na tatu wametukanwa/wanatukanwa.
Sisi kama wanajamii kwa kuweka kumbukumbu sawa na kutenda haki kuna haja ya kuorodhoresha waliotukanwa na matusi waliyotakanwa, tuweze kutendea haki justification zao. Kujitoa chama ulichokipigania ujana wako wote kwa nguvu na mali sio kitu kidogo so tuone matusi yanayoweza kufanya mtu mzee kama Kigaila akaacha chama yatakua ni makubwa na mapya kiasi gani ambayo hajawahi kutukanwa maisha yake yote aliyoishi ya nusu karne.
Mimi binafsi sijasikia wala kuona hayo matusi iwe kwenye maandishi, clips wala voice, wanayotukanwa hawa watanzania wenzetu. Kwa heshima na taadhima wanabodi mliosikia au kuona hebu wekeni hapa tuyaone katika aina yoyote ya media, sauti, picha, screenshot, video clips etc., tujiridhishe na kupima
Vinginevyo ibaki tu ni mkono wa kaka abdu.l unavua watu uchi na utu wao kama tulivyodokezwa hapo nyuma kwamba kuna uvunaji wa fweza toka kwa huyu kijana kusambaratisha hiki chama tishio kwa mama yetu.
For the benefit of doubts nawakilisha...
Inawezekana ni mwanachama wa chadema ila hufuatilii hata mikutano yao mkuu na sikulaumu maana ukweli no kwamba hii ndo chadema yenye wafuasa zaidi ya milioni 10 (wanavyodai) ila kwa ground hawapo. Juzi lema akiwa Bukoba kashusha kawaita hao mnaosema wazee kwamba ni mafala.
Hizi ndizo lugha za wasariti, Usaliti ulianza karne na karne zilizo pita, kumbuka hata Yuda alimsaliti Yesu kwa vipande therathini vya fedha, hata kwenye ndoa zetu kunausariti, rugha ya wasariti ni hiyohiyo palikuwa na shida Fulani mara ooh nilikua nabaguliwa mara ooh sikuwa nashirikishwa n.k Hawa Watu shida ni Maisha waliyo zowea yanapo badilika, mahasimu wao hupenyesha rupia. "Penye udhia penyesha rupia" msemo huu wenye mamlaka hufanyia kazi sana. USAILITI KATIKA MAMBO YA HAKI NI DHAMBI KAMA DHAMBI NYINGINE.Wanabodi tumeona watu wanajitoa Chadema siku za karibuni na wote wamekua wanatoa sababu kubwa 3, moja kwamba walimuunga mkono Mheshimiwa F. A. Mbowe, mbili wanabaguliwa so wanaenda kusiko na ubaguzi na tatu wametukanwa/wanatukanwa.
Sisi kama wanajamii kwa kuweka kumbukumbu sawa na kutenda haki kuna haja ya kuorodhoresha waliotukanwa na matusi waliyotakanwa, tuweze kutendea haki justification zao. Kujitoa chama ulichokipigania ujana wako wote kwa nguvu na mali sio kitu kidogo so tuone matusi yanayoweza kufanya mtu mzee kama Kigaila akaacha chama yatakua ni makubwa na mapya kiasi gani ambayo hajawahi kutukanwa maisha yake yote aliyoishi ya nusu karne.
Mimi binafsi sijasikia wala kuona hayo matusi iwe kwenye maandishi, clips wala voice, wanayotukanwa hawa watanzania wenzetu. Kwa heshima na taadhima wanabodi mliosikia au kuona hebu wekeni hapa tuyaone katika aina yoyote ya media, sauti, picha, screenshot, video clips etc., tujiridhishe na kupima
Vinginevyo ibaki tu ni mkono wa kaka abdu.l unavua watu uchi na utu wao kama tulivyodokezwa hapo nyuma kwamba kuna uvunaji wa fweza toka kwa huyu kijana kusambaratisha hiki chama tishio kwa mama yetu.
For the benefit of doubts nawakilisha...
G55 mnawaita NJAA 55. Hilo kama sio tusi ni nini? Kwa nini msiwapinge kwa hoja zao bila kuwakejeli na kuwaita majina mabaya?
Nimemuona juzi pale millennium towers ana kimbia kimbia kama paka aliyebanwq na mlango.Hebu ona mkuu jinsi wanavyo umbuliwa kwa kauli zao wenyewe mchana kweupe.
View attachment 3331441
Siti ya mbele kabisa kuliaWanabodi tumeona watu wanajitoa Chadema siku za karibuni na wote wamekua wanatoa sababu kubwa 3, moja kwamba walimuunga mkono Mheshimiwa F. A. Mbowe, mbili wanabaguliwa so wanaenda kusiko na ubaguzi na tatu wametukanwa/wanatukanwa.
Sisi kama wanajamii kwa kuweka kumbukumbu sawa na kutenda haki kuna haja ya kuorodhoresha waliotukanwa na matusi waliyotakanwa, tuweze kutendea haki justification zao. Kujitoa chama ulichokipigania ujana wako wote kwa nguvu na mali sio kitu kidogo so tuone matusi yanayoweza kufanya mtu mzee kama Kigaila akaacha chama yatakua ni makubwa na mapya kiasi gani ambayo hajawahi kutukanwa maisha yake yote aliyoishi ya nusu karne.
Mimi binafsi sijasikia wala kuona hayo matusi iwe kwenye maandishi, clips wala voice, wanayotukanwa hawa watanzania wenzetu. Kwa heshima na taadhima wanabodi mliosikia au kuona hebu wekeni hapa tuyaone katika aina yoyote ya media, sauti, picha, screenshot, video clips etc., tujiridhishe na kupima
Vinginevyo ibaki tu ni mkono wa kaka abdu.l unavua watu uchi na utu wao kama tulivyodokezwa hapo nyuma kwamba kuna uvunaji wa fweza toka kwa huyu kijana kusambaratisha hiki chama tishio kwa mama yetu.
For the benefit of doubts nawakilisha...
Sogeza na ya Mrema.Shikamoo technolojia
Ukweli ni kuwa Mbowe alijitengenezea kahimaya ambako kalimthamini na kumuheshimu bila ukomo! Bila kuficha hawa wanaojitoa walikuwa wanawaona viongozi wengine kama makapi na kuwapaka mafuta kwa mgongo wa chupa!Wanabodi tumeona watu wanajitoa Chadema siku za karibuni na wote wamekua wanatoa sababu kubwa 3, moja kwamba walimuunga mkono Mheshimiwa F. A. Mbowe, mbili wanabaguliwa so wanaenda kusiko na ubaguzi na tatu wametukanwa/wanatukanwa.
Sisi kama wanajamii kwa kuweka kumbukumbu sawa na kutenda haki kuna haja ya kuorodhoresha waliotukanwa na matusi waliyotakanwa, tuweze kutendea haki justification zao. Kujitoa chama ulichokipigania ujana wako wote kwa nguvu na mali sio kitu kidogo so tuone matusi yanayoweza kufanya mtu mzee kama Kigaila akaacha chama yatakua ni makubwa na mapya kiasi gani ambayo hajawahi kutukanwa maisha yake yote aliyoishi ya nusu karne.
Mimi binafsi sijasikia wala kuona hayo matusi iwe kwenye maandishi, clips wala voice, wanayotukanwa hawa watanzania wenzetu. Kwa heshima na taadhima wanabodi mliosikia au kuona hebu wekeni hapa tuyaone katika aina yoyote ya media, sauti, picha, screenshot, video clips etc., tujiridhishe na kupima
Vinginevyo ibaki tu ni mkono wa kaka abdu.l unavua watu uchi na utu wao kama tulivyodokezwa hapo nyuma kwamba kuna uvunaji wa fweza toka kwa huyu kijana kusambaratisha hiki chama tishio kwa mama yetu.
For the benefit of doubts nawakilisha...
Anza kutunza tusi hilo lililopo paragraph ya pili kutoka chini.....ni bonge la tusi. Wastaarabu wanakimbia ujinga ujinga kama huo.Wanabodi tumeona watu wanajitoa Chadema siku za karibuni na wote wamekua wanatoa sababu kubwa 3, moja kwamba walimuunga mkono Mheshimiwa F. A. Mbowe, mbili wanabaguliwa so wanaenda kusiko na ubaguzi na tatu wametukanwa/wanatukanwa.
Sisi kama wanajamii kwa kuweka kumbukumbu sawa na kutenda haki kuna haja ya kuorodhoresha waliotukanwa na matusi waliyotakanwa, tuweze kutendea haki justification zao. Kujitoa chama ulichokipigania ujana wako wote kwa nguvu na mali sio kitu kidogo so tuone matusi yanayoweza kufanya mtu mzee kama Kigaila akaacha chama yatakua ni makubwa na mapya kiasi gani ambayo hajawahi kutukanwa maisha yake yote aliyoishi ya nusu karne.
Mimi binafsi sijasikia wala kuona hayo matusi iwe kwenye maandishi, clips wala voice, wanayotukanwa hawa watanzania wenzetu. Kwa heshima na taadhima wanabodi mliosikia au kuona hebu wekeni hapa tuyaone katika aina yoyote ya media, sauti, picha, screenshot, video clips etc., tujiridhishe na kupima
Vinginevyo ibaki tu ni mkono wa kaka abdu.l unavua watu uchi na utu wao kama tulivyodokezwa hapo nyuma kwamba kuna uvunaji wa fweza toka kwa huyu kijana kusambaratisha hiki chama tishio kwa mama yetu.
For the benefit of doubts nawakilisha...
Anza kutunza tusi hilo lililopo paragraph ya pili kutoka chini.....ni bonge la tusi. Wastaarabu wanakimbia ujinga ujinga kama huo.
Hao ndio wanasii hasaa wakweli wenye ngozi ya nungunungu.Na sii wana sii hasaa akina Mrema.Mr.Trumpet angezira urais awamu ya pili angeusikia ndotoni na jela wanasii hasaa fitna kama wa chama kijani wangemtia lupango.Mtafosi sana anyway, kama mwanasiasa anaogopa matusi basi kusingekuwa na siasa, kuna mtu analamba matusi (kama ndio hayo) kama mama yetu, Trump, Zitto, Zuma, Ruto, Zelensky, Netanyahu etc, mbona hawajazira?
gentleman,Wanabodi tumeona watu wanajitoa Chadema siku za karibuni na wote wamekua wanatoa sababu kubwa 3, moja kwamba walimuunga mkono Mheshimiwa F. A. Mbowe, mbili wanabaguliwa so wanaenda kusiko na ubaguzi na tatu wametukanwa/wanatukanwa.