Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Malkia Elizabeti ambaye ni Mkuu wa nchi na pia Amiri Jeshi Mkuu wa nchi ya Uingereza na makoloni yake leo hii ametimiza miaka 65 ya Utawala, hii ni record hakuna aliyeifikia mpaka leo hii, wakati Malkia wa Uholanzi Beatrix na Mfalme wa Ujapani Akihito ambao pia ni Wakuu na Amiri jeshi Mkuu wa Uholanzi na Makolini yake Malkia Beatrix aling'atuka baada ya kukaa madarakamani muda mrefu, lkn Malkia Elizabeti amekataa kung'atuka na bado anaendelea kutawala!
Mwaka 1952 ambapo alitawazwa kuwa Malkia na Mkuu wa nchi ya Uingereza!
Miaka 65 baadaye kimeshakuwa kibibi lkn bado hakitaki kuachia!
Malkia Beatrix wa Uholanzi ambaye ameshang'atuka!
Mfalme Akihito wa Ujapani naye anang'atuka!