Hayo makosa yake sita yaweke/yaorodheshe ili nilie na kusikitika.Mdogo wa Balozi wetu huko ushuani anayewakilisha Taifa UN huko akamatwa Nchini Kenya, hivi tunavyoongea yupo lockup ana kesi sita nchini Kenya.
Baada ya kukamatwa leo huku nyumbani dada yake anahaha kutafuta njia ya kumtoa mdogo wake mikononi mwa Polisi. Ikumbukwe Recho amekimbia kesi huko Tanzania na amekimbia dhamana. Za ndani kabisa ni kuwa Balozi alikua akipiga simu kwa IGP kuomba msaada wa ndugu yake.
Mama yetu Samia Suluhu Hassan, watu wengi wamedhalilishwa na huyu binti anayejiita Diplomatic wife. Amekua akisaidiwa na dada yake kwa kutumia cheo ambacho umeona anafaa kukitumikia kwa maslahi ya nchi yetu lakini amekua akitetea uovu wa mdogo wake huku akitumia cheo chake kupokonya haki za wananchi kwa kumlinda mdogo wake.
Tunaomba Jeshi la Polisi kutekeleza wajibu wake ipasavyo kwa binti huyu pindi atakapofikishwa kwenye vyombo vya sheria nchini Tanzania.
Finally Recho Temu apatikana.View attachment 2497693View attachment 2497694View attachment 2497695View attachment 2497696
[emoji3]sijui kwanini hasa,ila nimefikia hatua ya kimaisha nau associate u-Tanzania na majungu,roho mbaya fitina,chuki
Yani nikisikia neno Mtanzania basi nawaza ana tabia hizo
Upo period ? Mbona una makasiriko kiasi kwamba umeshindwa kuelewa nilichoandika,umesikia wapi nimefikia uamuzi huo kwa point ya jamaa tuAcha ujinga wewe!
Yaani mtu mmoja ndio akufanye utukane nchi nzima?
Yaani wewe fala wa mafala, kama uko kwenu ndio wanatabia hizo tafadhali usiituingize na sisi [emoji35]
Unasikia mtoto mdogo?
Idiotic mind set [emoji35]
Upo period ? Mbona una makasiriko kiasi kwamba umeshindwa kuelewa nilichoandika,umesikia wapi nimefikia uamuzi huo kwa point ya jamaa tu
Matako yako.
We huyu ushua kaupata juzi TU baada ya dad Ake kua miss na vile connection so unajua wachaga wanapendana wenzetureymage
Dyadyaaa njooo utoe nenooo.
Ila Rachel nae sometimes anazingua km vile sio mtoto wa kishua, utasema mtu wa maji matitu khaaah
Poleeee yake.
Afu we dogo Maji matitu Kwa wastaarabu huyu wa manzese Kwa sisi Kwa sisireymage
Dyadyaaa njooo utoe nenooo.
Ila Rachel nae sometimes anazingua km vile sio mtoto wa kishua, utasema mtu wa maji matitu khaaah
Poleeee yake.