Receiver ipi nzuri?

Receiver ipi nzuri?

kalemauji

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2014
Posts
1,629
Reaction score
1,845
wadau habari za leo naomba kuuliza vp kuhusu receiver ambazo unaweza kupata hata channel mbalimbali za zinazoonesha mpira wa ulaya hususani EPL UEFA na ligi zingine za ulaya.kwa anayefahamu msaada tafadhali Natanguliza shukrani ahsante.
 
Back
Top Bottom