Inawezekana wewe ni MWL. Sina hakika sana lakin Nina mifano mingi ambayo recategorization imegoma. Sijui kwa mini lakin nahisi kuna utata kwenye taratibu zenuKaka habari za leo wanajukwaa
naomba ushauri toka kwako
Nataka kusoma masters na tayari nimepata kudahiliwa chuo kikuu kwa kozi ya masters of natural resorce management
Ushauri niuombao ni kwamba je,niendelee na mpango wa kuisoma hiyo kozi kwa mategemeo ya kuja kuomba recategorization baada ya kumaliza hiyo kozi kwa mwajiri wangu wa halmashauri???
Naomba hivyo kwa sababu wengi kati ya ninaoongea nao wanasema masters ni ngumu kufanyiwa recategorization labda kama nataka kusoma hiyo kozi nianze na bachelor ili baadae niombe recategorization
NAOMBA USHAURI TOKA KWANU KWA KUTUMIA UZOEFU MLIONAO
NAOMBA KUWASILISHA