Na ndo maana inasisitizwa kusoma mapema ..kwa mfano mtu ni technian daraja la pili kafanya kazi karibia Miaka kumi akienda shule kusoma labda uinjinia anakuja kuanza na mshahara mdogo kulikoUnaanza na mshahara wa cheo kipya,kama wa zamani ulikuwa mkubwa unashushwa
Na je, inachukua muda gani mpaka mchakato mzima kuweza kukamilika baada ya kuandika barua ya kuomba kufanyiwa recartegorization? I mean Unaweza kubadilishwa kada muda wowote na kuanza kazi? au ni mpaka mwaka mpya wa fedha uanzeSheria ya utumishi wa umma kwenye masuala ya recatergolization lazima uanze na mshahara wa cheo kipya,hiyo jiandae kisaikolojia bro,sasa kama cheo kipya kina mshahara mkubwa itakuwa vzr,hapo ni kama mtu utakuwa umeajiriwa mwanzo tu
Kwa Mwalimu wala haiwezi kuchukua muda mrefu, maliza chuo peleka cheti TSC wanabadili kwenye mfumo chap nadhani mwezi tuWakuu hv inachukua muda gani ,kubadilishiwa muundo na kupata mshahara mpya baada ya kutoka masomoni mfano mm ni mwalimu diploma natak kwenda kusoma degree ? Msaada hapo wakuu
na je mm mwalimu mwenye degree nataka nikasomee degree ya IT, itachukua muda sana kupata recategorization?Kwa Mwalimu wala haiwezi kuchukua muda mrefu, maliza chuo peleka cheti TSC wanabadili kwenye mfumo chap nadhani mwezi tu
Hapo ww hamna unachofanya zaid ya kubadiri idara tuu mshahara hauongeze hata miana je mm mwalimu mwenye degree nataka nikasomee degree ya IT, itachukua muda sana kupata recategorization?
aha sawa sawa.Hapo ww hamna unachofanya zaid ya kubadiri idara tuu mshahara hauongeze hata mia
Mpaka katibu mkuu atumiwe na HR, tatizo urasimu ila kama wako faster unahama, Mimi nasotea mwaka sasana je mm mwalimu mwenye degree nataka nikasomee degree ya IT, itachukua muda sana kupata recategorization?
sawa sawa, mm ndo nataka niandae ada taratibu, nikikamilisha tu miaka mitatu kazn naomba ruhusa ya kwenda masomoni. afu kuna mdau hapo juu kajibu eti nikienda kusomea IT hakuna ktu ntakua nmefanya, it mean mshahara wa IT (mfano IT wa halmashauri) ni sawa na mshahara wa mwalimu?Mpaka katibu mkuu atumiwe na HR, tatizo urasimu ila kama wako faster unahama, Mimi nasotea mwaka sasa
Kuna vipindi vya kufanya recate
HIYO ruhusa mupata tena Fani nyingine jiandae kisaikolojia haswaasawa sawa, mm ndo nataka niandae ada taratibu, nikikamilisha tu miaka mitatu kazn naomba ruhusa ya kwenda masomoni. afu kuna mdau hapo juu kajibu eti nikienda kusomea IT hakuna ktu ntakua nmefanya, it mean mshahara wa IT (mfano IT wa halmashauri) ni sawa na mshahara wa mwalimu?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂HIYO ruhusa mupata tena Fani nyingine jiandae kisaikolojia haswaa
IT anaanza na 1.1m wengine wakatisha tamaa, fanya kitu unachoaminisawa sawa, mm ndo nataka niandae ada taratibu, nikikamilisha tu miaka mitatu kazn naomba ruhusa ya kwenda masomoni. afu kuna mdau hapo juu kajibu eti nikienda kusomea IT hakuna ktu ntakua nmefanya, it mean mshahara wa IT (mfano IT wa halmashauri) ni sawa na mshahara wa mwalimu?
Siyo rahisi kama unavyodhani, hilo ni suala la kibajeti linahitaji mudaKwa Mwalimu wala haiwezi kuchukua muda mrefu, maliza chuo peleka cheti TSC wanabadili kwenye mfumo chap nadhani mwezi tu