Hapana hao rebels wanawaua ndugu zetu walioko mpakani mwa nchi yetu na congo waacha tuwaonyeshe. Isitoshe hao wanawake na watoto wanaobakwa kila siku wataokolewa na nani na lini ikiwa majirani tumekaa kimya kama hatuoni? Hadi wazungu waje kusaidia wakati waafrika wenzao tumekaa kimya wakati ndugu zetu wanateswa? Lazima ifike mwisho. Mie naunga mkono serikali kwenda kukomesha ujinga na unyama huu. Hao rebels wanajua Tanzania tunamaanisha na wanaogopa ndio maana wanaanza kujihami. Wao kama wanataka nchi hao wananchi wanaoteswa wamekosa nini? Isitoshe watamwongoza nani kama watauwa wananchi wote?? Bravo Tanzania We are with you all the way !!1
Viongozi wetu wanajikomba kwa Kabila ili wapate pakukimbilia 2015.