mambo zenu
i want to share this trick kwa watumiaji wa simu ambao ni wavivu wa kutumia proxy
kuna kitu kinaitwa real host kinamuwezesha mtumiaji kutumia net ya bure kama kuna acses ya free site
unachotakiwa kufanya downlod mafile kutoka link ntakayokupa hapo chini(opera mini na ucweb) na fata maelekezo haya
utadownload na kuistall/ku open either opera mini au ucweb au ukitaka download yote
ukiopen hizi software zako utaona handler menu click kwenye network setting then shuka chini utaona proxy type click hapo then chagua real host
kwenye proxy server andika 0.facebook.com (bila http)
then click ok ur done enjoy free net.
Note: mara ya kwanza hutumia mda kuload so kua mvumilivo soft ziikiji install
link ya kudownload opera na ucweb za real host hii hapa
real host opera and ucweb
nasubiria matokeo toka kwenu
yah dy/dx yupo right ukiwa na opera proxy zinakua ni server za opera either server4.operamini.com au mini5.opera-mini.net (bila http)
Opera=∫opera(free net)dx
Naomaba unielezee vizuri jinsi ya kuset opera min 12 maana sijaelewa nitumie proxy zipi
Mi natumia km proxy
176.9.126.177
Port 80
Eka kwenye access point yako then fungua opera 12 kwenye adress andika 0.facebook.com
Ni kama pc tu setting zake
Hio proxy ina resume
Nime download hiyo opera 12 toka www.opera.com/mobile nimeinstall kama kawaida nikaenda kwenye settings za sim nkatengeneza access poin APN nkaandika internet, proxy server name nkaweka hizo proxy ulizo nipa, port nkaweka 80. Nkafungua opera 12 nkaandika 0.facebook.com lakini inafungua page ya facebook
Ukiona hivo opera haiko integrated na hio access point yako so katika opera click menu then setting then advanced utaona access point change eka hio ulio edit
Nlifanya hivyo lakini hollah!!! Mkuu sijui nimekosea wapi
Mkuu ucweb katika Nokia C5 inagoma?
Why igome? Inakubali kama kawaida
kaka mimi natumia samsung chat. nimedownload handler zote za opera na ucweb na kufuata stepps zote lakini kila nikijaribu kujiunga inazingua. je kuna trick ya ziada kwa simu za samsung.?
nasubiria matokeo toka kwenu
Ujinga huu, we don't browse Facebook tu , stupid
Chief mimi natumia Nokia 2730c nimejaribu kufanya kila njia lakini huwa sifanikiwi
Nilikuwa naomba unisaidie nifanyeje
Me mbna naingia facebook au ume2mia browser ya cm?