Yani katika ulimwengu wa soccer sitaki hata niisikie Manchester United.
Natamani ubao usomeke hivi:
Real Madrid 5 Man United 0
yaani jones kumkaba fellaini ndo mnamuona anaweza. Kumbuka mechi na barca babu yenu alimuandaa park g sung matokeo yake barca wakabadilika na mkakiona cha moto. Haiwezekani morinho aje uingereza kuiangalia man utd ikicheza ligi harafu afungwe. Kesho mambo yatakuwa hivi kwa mtangazaji "goal oooooon ronaldo again" ujue anafunga la pili
Atakaye pita kwenye leg hii nadhan ndio atakua mshindi wa CL this season
Bora uwaambie kwamba pia kuna B.MUNICH.bado kuna Barcelona.
bado kuna Barcelona.
hahahahahahahaha Steven G. nini tatizo!!!? Hahahahaha
Leo Phil Jones anakufa na Ronaldo mwanzo mwisho, alafu dogo Rafael atakua anajiviringisha miguuni mwa Ozil na Benzema mpaka wachanganyikiwe wakati RVP na Wazza wakitafuta upenyo wa kudumbukiza kitu; Casilas ni majeruhi hivyo golini leo kuna boya.
Real Madrid: Diego Lopez, Arbeloa, Sergio Ramos, Varane, Fabio Coentrao, Khedira, Alonso, Di Maria, Ozil, Ronaldo, Benzema. Subs: Adan, Pepe, Kaka, Carvalho, Essien, Modric, Higuain.
Man Utd: De Gea, Da Silva, Ferdinand, Evans, Evra, Welbeck, Carrick, Jones, Kagawa, Rooney, van Persie. Subs: Lindegaard, Valencia, Anderson, Giggs, Smalling, Hernandez, Cleverley.[COLOR]
niko na Castle baridiiiii najiburudisha; timu yangu inanipaga raha siku zote, si unaona leo ni ndani ya Champion league,... Many people Trust in Man U.Kaa na PANADOL pembeni......
hivi lini simba na yanga..
me ni united damu,ila kwa kikosi chetu sioni kama tutaweza kuwakabili madrid,maan ni wazi tuna nguvu kubwa sana ya kushambulia na uwezo wa kufunga ni mkubwa,sema tatizo tunafungika pia tena kirahisi sana,na hilo la kufungika ndilo tatizo linalonipa mashaka mbele ya hiki kikosi cha madrid ambacho ni imara pia.