cha muhimu ni hizo za karibuni zaidi. yaani mara ya mwisho walipokutana!:target:
man utd, haina uwezo wa kumtoa Jose Mourinho kwenye ligi ya Mabingwa..hata Babu Fergie anajua!:A S angry:
-Angel Di Maria
-Xabi Alonso
-Ozil
Huenda C.Ronaldo akaona "huruma", lakini unafikiri hao watazuiwa na wachezaji gani wa Man utd?
Mkuu @agosti8 kati yao wote hakuna mwenye uwezo kuliko Bale kataa kubali.Kati ya hao wote hakuna mwenye mbio na akili ya mpira kuliko Bale.Sioni Di Maria akiwasumbua Rafael au Evra atawekwa chini ya ulinzi mkali hatofurukuta hata kidog😵zil ni mchezaji mzuri sana ana akili ya mpira lakini huyu dogo atakumba na kisiki Michael Carrick.
Usisahau Real watabidi kucheza kwa tahadhari nyuma kwani muziki wa Man pale mbele si mdogo yupo Van Goal nyuma yake atakuwepo Rooneyyyy pembeni atakuwepo Ashley Young.Mtashangaa Man itashinda nyumbani na ugenini.
Bale ni mkali zaidi ya CR7? U wish!!!!!
Na hao kina Jones cjui Evra waliozoea kusaidiwa na waamuzi wa Uingereza, ni sungusungu tu hao hakuna defenders hapo, tuombe tu uzima!
Oooppss pole sana, una shiriki ligi gani vile??
Unaongea kwa jazba na ushabiki mkubwa sana,pole.
Mpaka sasa kwenye mitandao mingi nimeona man u wanapewa nafasi ila nina mashaka kwasababu madrid ktk mechi kubwa wako makini zaidi. mwageni maoni yenu wadau kuelekea mechi hii kali inayosubiriwaa kwa hamu.
Kama Man Utd, watajikaza kuitoa Madrid, basi ubingwa wa Uingereza utakuwa hatarini kabisa!
Nguvu ya kuitoa Madrid itaichosha sana Man Utd.:majani7:
Leo Evra kadi nyekundu ni lazima,haikwepeki!Hata siongei, nimeandika kwa tone ya kawaida tu, omba tu uzima uone tofauti kati ya askari na sungusungu