Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,538
- 15,739
- Thread starter
- #28,161
Marcelo: "I take responsibility for the last goal."
am still utterly disgusted by how we wasted chances yeterday.
very disgusted
aaahSure, we had chances to score and finish the game in the first half hour of the game, but the finishing was poor. May be Zidane could start Asensio instead of injured Bale or slower Benzema.
Amen kwa jina la yesu.Narudia tena real Madrid huchukui kombe lolote msimu huu
Atletico anaenda kufuta majeraha yake ya fainal ya msimu uliopita. Sioni madrid ikitinga fainal.la liga mna mechi tight sana. valencia, celta na sevilla. mba mechi mbili Ramos. UEFA haitabiriki, naona kabisa ATM wakikaza sana.
Wewe unaongea valencia na sevilla kwa matokeo yao katika ligi, tazama hao watu wakikutana na madrid wanakuaje.Valencia hana kitu Siku hizi na pia sevilla wamedrop kiwango. Mechi ninayoihofia labda ya malaga.
Hapo ndipo experience inapoingia, kulikuwa kuna haja gani ya kuenda kutafuta goli la 3 wakati hata droo ilikuwa ni matokeo mazuri kwetu haswa ukizingatia tulikua pungufu? Wajamaa waliamua kutuchosha tu kwa kweli, ngoja tu tusonge mbele, kesho kutwa tu tuna mtanenge mwingine!!Zidane: "We thought we could score a third goal.Equalising, with 10, and then going to press very high, is dangerous, and we paid for that."
Very poor management, he's admitting it himself.
Nilimwona baada ya lile goli alichoka sana kwa kweli!! ikizingatiwa ndio muda wenyew ulishaisha basi loo!! Sema uzembe ulianzia kwa Cristiano na Modric, hawa ndio walimpisha yule dogo akatembea, Marcelo alijisahau tu., ndio mpira lakin,Marcelo: "I take responsibility for the last goal."
Huyu Benzema atmponza sana Zidane, nimeona kwnye Marca kuwa, Zidane hana presha yeyote kutoka kwa maboss kuwa n lazima awaanzishe BBC, baadhi ya maboss wanaona ni vyema mmoja wa BBC akaanzia bench, sababu hawa watu wanawapa wenzao mzigo mkubwa sana, hope kuanzia msimu ujao mambo yatabadilka!!Sure, we had chances to score and finish the game in the first half hour of the game, but the finishing was poor. May be Zidane could start Asensio instead of injured Bale or slower Benzema.
Mkuu kufungwa inauma asikuambia mtu, loo, sijui hawa wenzetu team zao zinavyo fungwa mara kwa mara sijui huwa wanakuaga katika hali gani!! Hapa ninadhan maumivu yataisha tukimaliza game ya Deportivo.am still utterly disgusted by how we wasted chances yeterday.
very disgusted
Uchochezi sasaHamjambo humu wakuu. Napita kuwasilimia tu