Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,538
- 15,739
- Thread starter
- #42,581
Luka Jovic is coming on
Nimejikuta navunja mbavu mwenyewe kama chiziMbona unaAndika mwenyewe amna MTU anaweka comment?
Watu wanasoma na kupita kimyaMbona unaAndika mwenyewe amna MTU anaweka comment?
Haahaa watu wamemsusia, wameona timu haina uelekeaMbona unaAndika mwenyewe amna MTU anaweka comment?
Haya matokeo siyo mazuri kwa kwel...tunaanza kuugua ule ugonjwa wa msimu uliopita...wale wakibanwa mbavu na sisi tunashindwa kutumia nafasi vzrFULL TIME
Real Madrid 1-1 Valladolid
A frustrating result. Lost 2 vital points at home but a lot of positives to take from this game.
The season has just started and its a long journey.
Hala Madrid!!
Mbona unaAndika mwenyewe amna MTU anaweka comment?