Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Kiufupi timu imecheza hovyo sanaa...hatukustahili kushinda wala kudraw...ili kushinda vikombe ni muhimu na lazima kufunga timu kubwa...lakini sasa hivi tunakuwa wanyonge....bado ninaamini timu inahitaji watu matured na wenye kiu ya ushindi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom