Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

HALF TIME: Real Madrid 0-1 Barcelona

D0rizJCWkAMAJOX.jpg
 
Messi’s face was hurt so much that it didn’t stop him from going in for a headbut with Ramos

D0rj0P1X0AIie_v.jpg
 
HT: Tumecheza hovyo...safu ya ulinzi ni kama vile kuna wakat inapigwa na baridi...inajisahau sanaaa...mbele kule huyu bwana mdogo Vin ana mambo mengi ambayo siyo ya hekima wakat mwenye uzoefu benzema ni hovyo ilihali bale sijui anafanya nini uwanjan....Kroos anakimbia hadi anaacha mpira nyuma anapoteza mipira sana...nafikri benzema atoke aingie Lucas na bale atoke aingie Isco disco..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Madrid dhidi ya Barca, nadhani Madrid imejitahidi mno kwa kiwango cha soka walichokionesha First Half.
 
Ramos anataka apigwe umeme ili mpate kisingizio eti mlikua pungufu. hakuna kusalimika!

- KANA -
 
Back
Top Bottom