Msimamoo792
Member
- Jan 28, 2017
- 41
- 29
Madrid watashiriki final kumsindikiza liver kuchukua chaoUna maanisha???...
Madrid watashiriki final kumsindikiza liver kuchukua chaoUna maanisha???...
Nadhani nimesha kuunga mkono toka mda mkuuKombe la liverpool hili, atamaliza game ya final kwa frst half tu.
Mbona kapoteza janaTunajua Fika Kuwa Madrid nyote Mulielekeza Sala Zenu Kwa Roma Kuwa lazima Apite Yeye ili Mumuepuke Liverpool Musikutane Naye Fainali Mukiamini Kuwa Alichofanywa Barcelona Ndiyo atakachofanywa Liverpool huku mukisahau Liverpool sio Barcelona.
Lakini Roma kashindwa Kazi na Liverpool anakuja Mutafanyaje sasa?
Najua Hamkupenda Mukutane naye na ndiyomana mukamlilia Roma apite.
Musisahau tu Kuwa Liverpool Kamtoa Mbabe Wa Mbabe Wenu Ambaye Amewakanyaga Ligi Nzima Hapo na Anakwenda Kubeba Kombe Bila Ya Kupoteza Mchezo Hata Mmoja.
Sasa Kama Nimemfunga Mbabe Wa Mbabe Wenu Basi Nyinyi Jiandaeni Kisaikolojia Kujipiga Ban wenyewe Katika Huu Uzi Wenu.
Tunajua Fika Kuwa Madrid nyote Mulielekeza Sala Zenu Kwa Roma Kuwa lazima Apite Yeye ili Mumuepuke Liverpool Musikutane Naye Fainali Mukiamini Kuwa Alichofanywa Barcelona Ndiyo atakachofanywa Liverpool huku mukisahau Liverpool sio Barcelona.
Lakini Roma kashindwa Kazi na Liverpool anakuja Mutafanyaje sasa?
Najua Hamkupenda Mukutane naye na ndiyomana mukamlilia Roma apite.
Musisahau tu Kuwa Liverpool Kamtoa Mbabe Wa Mbabe Wenu Ambaye Amewakanyaga Ligi Nzima Hapo na Anakwenda Kubeba Kombe Bila Ya Kupoteza Mchezo Hata Mmoja.
Sasa Kama Nimemfunga Mbabe Wa Mbabe Wenu Basi Nyinyi Jiandaeni Kisaikolojia Kujipiga Ban wenyewe Katika Huu Uzi Wenu.
Mbona kapoteza jana
Sidhani Kama Unachokisema kina uhusiano na Mantiki Ya Nilichokiandika
Mala ooh River toka anze ajawah kufungwa ,mala ooh river ndotimu yenye magoli mengi! Naona sasa mtakutana na zaidi ya yaliyomkuta Asernal 2002 maana alifika final ajawai kufungwa watu wakajua anabeba ndoo matokeo yake akashushiwa kipigo kizito sasa na nyie jiandae walau Jana msingepewa mkongoto ningewaelewa kidogo lkn mnaingia final kwa goli 7-6 !!Skuiyo ndomtajua walioichagua Madrid kuwa timu ya karne hawakukosea.Jumla ya goli anazo pigwa Roma katika mechi mbili ndo atakazo pigwa Madrid usiku ule !!!
Unachekesha kweli yan River ifichwe na Man U ndo mjekumdindishia Madrid mbabe wa wababe! Mkijitaid saaana mtapata kichapo alichpokea final juve na akiwa katika ubora wake.Tunajua Fika Kuwa Madrid nyote Mulielekeza Sala Zenu Kwa Roma Kuwa lazima Apite Yeye ili Mumuepuke Liverpool Musikutane Naye Fainali Mukiamini Kuwa Alichofanywa Barcelona Ndiyo atakachofanywa Liverpool huku mukisahau Liverpool sio Barcelona.
Lakini Roma kashindwa Kazi na Liverpool anakuja Mutafanyaje sasa?
Najua Hamkupenda Mukutane naye na ndiyomana mukamlilia Roma apite.
Musisahau tu Kuwa Liverpool Kamtoa Mbabe Wa Mbabe Wenu Ambaye Amewakanyaga Ligi Nzima Hapo na Anakwenda Kubeba Kombe Bila Ya Kupoteza Mchezo Hata Mmoja.
Sasa Kama Nimemfunga Mbabe Wa Mbabe Wenu Basi Nyinyi Jiandaeni Kisaikolojia Kujipiga Ban wenyewe Katika Huu Uzi Wenu.
Endelea kushangaa....!!!Fainal tunaicheza na Roma leo mtashangaa kichapo atachoshushiwa Liver .
Casemiro atacheza mechi ya fainali, na jukumu lake litakua ni kumuweka Salah mfukoni kama alivyofichwa jana. View attachment 764468View attachment 764469View attachment 764470
Kama nyie mlivyoazimwa kutoka man uMkuu huna haja ya kupiga kelele sana, wiki hizi tatu tunakuazima mashabiki wa Barcelona kukusaidia .
O.M.G,it's really loading...Casemiro atacheza mechi ya fainali, na jukumu lake litakua ni kumuweka Salah mfukoni kama alivyofichwa jana. View attachment 764468View attachment 764469View attachment 764470
We Do...: In 1981 Liverpool were European Champions and the Pope died
2005 Liverpool were crowned Champions of Europe and the Pope died,: Its up to Real Madrid to save the life of the current Pope