Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

DAcNoFrXkAATaZS.jpg:large
 
He has been a revelations since April. Has really found his old form again, was crucial for the title race!

18582265_1604556286235792_3135266500816742211_n.jpg
Navas alibadilika sana game za mwisho mwisho, sijui tetesi ndio zilmwamsha ama alirudi tu kwenye kiwango chake by default!! sababu sio kwa save zile kwa kweli, ninadhan Perez na Zidane wataumiza sana kichwa litakapokuja suala la kwamba Navas asepe ama abaki!!?
Hope atakuwa kwenye kiwango hicho hicho dhidi ya Juventus!!
 
Pepe: "My future? As we have a Champions League final around the corner it would be disrespectful to talk about that."

"The club have more important things to think about at the moment. I'll wait until the last minute to see what happens." [as]

DAcVD0qXYAAoI3A.jpg:large
 
Juventus [On Twitter]: Congratulations Real Madrid for winning LaLiga. See you in Cardiff! [HASHTAG]#UCLFinal[/HASHTAG]

DAaEvy8W0AAIfnp.jpg:large

Dah!..hawa jamaa nao si wa mchezo...mechi ya Jana walishatangaza ubingwa dhidi ya Crotone na hiyo game yao iliyobakia ata wakisuluhu tu...still watakuwa mabingwa Wa SERIE-A...Yani [HASHTAG]#UCLFinal[/HASHTAG] ya mwaka huu hiyo [HASHTAG]#june3[/HASHTAG] itakuwa si ya kisiport kwa kweli maana watakutana Mabingwa Wa ligi mbili Tofauti...Lazima moto Ufuke kwenye Majani Mabichi...Hatareee :cool::cool::cool::cool::cool:
 
Navas alibadilika sana game za mwisho mwisho, sijui tetesi ndio zilmwamsha ama alirudi tu kwenye kiwango chake by default!! sababu sio kwa save zile kwa kweli, ninadhan Perez na Zidane wataumiza sana kichwa litakapokuja suala la kwamba Navas asepe ama abaki!!?
Hope atakuwa kwenye kiwango hicho hicho dhidi ya Juventus!!

So far Navas anatufaa na Champion League final game ndio itakayofanya De Gea abaki huko huko. Kitakachomleta De Gea kwenye squad ni kwasababu ndio Golie wa National Team, lakini kwa mtazamo wangu Perez angemleta Gianluigi Donnarumma pale ili acheze na Navas. Lakini zote ni rumours tu, tusishangae next season team ikabaki hii hii.
 
We won the league when:

- Cristiano wasnt in best of the form half of the season.
- Bale was out for almost entire season.
- Benzema was out of form all season.
- Keylor navas was out of form half of the season.
- Pepe was out injured almost half of the season.

*Yet we racked up 93 points to win our 33rd league title. Zidane deserves a thank you from madridistas.
 
In less than 2 years. 18 months only in Madrid:

Laliga √
Champion League √
UEFA Super cup √
FIFA Club World Cup √

18581542_1604568612901226_5822286400618100772_n.jpg

Jamaa kabeba vikombe vyote muhimu ndani ya miezi 18 Tu na bado Champions League Trophy 2016/2017 is UnderWay...May god Bless us to conquer it... Huyo ndo ZIZOU Buana A.K.A [HASHTAG]#FatherTrophies[/HASHTAG],personally...I salute him!!!
 
So far Navas anatufaa na Champion League final game ndio itakayofanya De Gea abaki huko huko. Kitakachomleta De Gea kwenye squad ni kwasababu ndio Golie wa National Team, lakini kwa mtazamo wangu Perez angemleta Gianluigi Donnarumma pale ili acheze na Navas. Lakini zote ni rumours tu, tusishangae next season team ikabaki hii hii.

De Gea anakuja, it's a political and financial move that makes sense in every sense of the word. Katika moja ya tafiti zilizofanyika karibuni, 1 kati ya Spanish wa-3 anasapoti Madrid, so it's only fair we have the strongest representation in the Spanish NT. De Gea ndio future captain baada ya Ramos, ambapo itaendelea trend ya manahodha wa timu ya taifa kutokea Madrid.

De Gea pia ni galactico signing, something that fits well with Madrid and Perez. Pia ana umri unaomruhusu kucheza hata the 15+ years akijitunza vyema.
 
Yani mkuu kwa vyovyote vile huyo De-gea inabidi atue tu pale bernabeu hamna namna nyingine...despite of Navas been superb in the latter league games and even we expect that more of his saves being on the same trend in the UCL-Final 2016/2017 for Juve Vs Real in Cardiff....lakini hiyo bado haibadilishi kuwa jamaa ni kama homa ya vipindi...huwezi jua next Season atakuwa huyuhuyu wa sasa au ataflop tena...ilifika kipindi hasa kwenye El-Classicos nikimuona nahisi kubeba kapu la magoli(hapa Simaanishi navas is a worst goalkeeper ila kuna games nyingi tu anakuaga na kitete flani)...Sawa MSN ni safu nzuri ya ushambuliaji kwa barca lakini tukiwa na kipa mithili ya De-gea...we w'll be enjoying to watch our squad doing superb counter with a majestic saves by De-Gea against Our Classico rivals.!!!
 
Back
Top Bottom