Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #19,901
Marca | "Varane says no to Mou"
Damn, we already bought a CB,Marca | "Varane says no to Mou"
![]()
Marca wanaboa sana brooo.Damn, we already bought a CB,
Hili gazeti liwe linaona aibu muda muda mwingine
Super morata....i like it
Morata: "Being back at Real Madrid is a dream come true" .
![]()
Live man, umeona walivoiendesha ishu ya Gomes wakataka watuaminishe kuwa jamaa anaenda madrid kwa 65ME lakini leo hii barca wanamchukua kwa 35ME, muda mwingine bora hata ASMarca wanaboa sana brooo.
Daaaah nimeshangaa namimi asubuhi naoa taarifa kaenda barca,nafikiri wanafanya hvyo ili wauze sanaLive man, umeona walivoiendesha ishu ya Gomes wakataka watuaminishe kuwa jamaa anaenda madrid kwa 65ME lakini leo hii barca wanamchukua kwa 35ME, muda mwingine bora hata AS
Kuna sehemu nilisoma wakasema madrid haiwezi kununua bila kuuza, nadhani walikua wanategemea sana kumuuza james lakini aliposema tu kuwa anataka kubaki ndio wameamua kushitDaaaah nimeshangaa namimi asubuhi naoa taarifa kaenda barca,nafikiri wanafanya hvyo ili wauze sana
HahahahahKuna sehemu nilisoma wakasema madrid haiwezi kununua bila kuuza, nadhani walikua wanategemea sana kumuuza james lakini aliposema tu kuwa anataka kubaki ndio wameamua kushit
Marca watakua wamepotosha kweny suala la Gomes kwenda Madrid, lakini ishu ya bei ni sawa, Valencia mara ya kwanza walikaza sana, Juve walibid pesa ndefu tu zaid ya hiyo aliyonunuliwa nayo Ila wakachomoa, sasa sijui imekuaje wakamwachia Kwahiyo €35 japokua inaweza kuongezeka mpaka €55.Live man, umeona walivoiendesha ishu ya Gomes wakataka watuaminishe kuwa jamaa anaenda madrid kwa 65ME lakini leo hii barca wanamchukua kwa 35ME, muda mwingine bora hata AS
Kwa upande wangu sikuona sababu kubwa ya Madrid kumchukua Gomes wakati kuna kroos/isco/modric na james ambao wana viwango kumzidi yeye, madrid wanachojitaji saiz ni backup ya casemiro na marcelo basi kikosi kilichopo kinatosha sana ku challenge for title.Marca watakua wamepotosha kweny suala la Gomes kwenda Madrid, lakini ishu ya bei ni sawa, Valencia mara ya kwanza walikaza sana, Juve walibid pesa ndefu tu zaid ya hiyo aliyonunuliwa nayo Ila wakachomoa, sasa sijui imekuaje wakamwachia Kwahiyo €35 japokua inaweza kuongezeka mpaka €55.
Ni kweli Mkuu, kwa upande wangu ninaona kikosi kipo poa tu, backup ya Marcelo ndio bado hajapatikana, kwa upande wa Casemiro kuna taarifa nimeona hapo juu kuwa Marcos Llorente atakua msaidizi wake, kwa upande wangu hii imekaa poa pia, nilibahatika kuona baadhi ya game za Castilla msimu uliopita yupo vizuri sana!Kwa upande wangu sikuona sababu kubwa ya Madrid kumchukua Gomes wakati kuna kroos/isco/modric na james ambao wana viwango kumzidi yeye, madrid wanachojitaji saiz ni backup ya casemiro na marcelo basi kikosi kilichopo kinatosha sana ku challenge for title.
Nimesikia na ile ishu ya Gabriel Jesus Gurdiollar kaingilia kati
Marca wanaboa sana brooo.
Kuna sehemu nilisoma wakasema madrid haiwezi kununua bila kuuza, nadhani walikua wanategemea sana kumuuza james lakini aliposema tu kuwa anataka kubaki ndio wameamua kushit
Nimesikia na ile ishu ya Gabriel Jesus Gurdiollar kaingilia kati