Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
Hawa jamaa huwa wanajua kusajili kinoma. Na huwa wanawapata kwa bei nzuri balaa. In the next 2/3 years huyu dogo clubs nyingine zitakuwa zinamtaka for 70/80m.
Hawa jamaa huwa wanajua kusajili kinoma. Na huwa wanawapata kwa bei nzuri balaa. In the next 2/3 years huyu dogo clubs nyingine zitakuwa zinamtaka for 70/80m.
Kweli, chukulia mfano Griezmann, yule jamaa ni madridista pure lakini watu huwa hawazioni talents sijui vipi!
Dili la kante ndo nimelipenda zaidi. Pogba anakuwa overrated sana
Iniesta tops the list nowMost passes completed so far at #EURO2016:
- Toni Kroos (200) #GER
- Granit Xhaka (192) #SUI
- N'Golo Kante (165) #FRA