Chizi Fureshi
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 1,718
- 462
Eee, subiri hiyo mwakani ifike. Sasa hivi shangilia mabingwa ambao ni RMAmwakani hamfiki nusu fainali, ndio maana La liga mnaisikia kwenye Sports Extra tu

endelea kushangilia mkuuEee, subiri hiyo mwakani ifike. Sasa hivi shangilia mabingwa ambao ni RMA
mwakani hamfiki nusu fainali, ndio maana La liga mnaisikia kwenye Sports Extra tu
acha kughankana,We mkurya acha ujinga, watu Leo wanashangilia ubingwa we unawaletea habari za mwakani.
Unajua hayo makombe matano ya mwanzo ambayo wanataka yafutwe, ni kutokana na wivu tu kuona tuliyabeba mara tano mfululizo.. Kitu ambacho hakijawahi tokea tena.

Labda sahivi Mr UEFA Zizou anaweza fanya maajabu hayo.