Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #18,981
Cristiano has now ended season as the UCL top scorer for 4th successive time.
Navas anatosha De gea abakie huko hukoZile penalties Jana niliona wataalamu watupu, yaani Vazquez, Marcelo, Bale, Ramos na Keylor alikuwa njiani kucheza moja. Yaani we acha Tu.
Hawa ndio wababe wa CL.5 CLs within 20 years. Who else can top that?
Hahahaha inaonyesha bado anamahaba na timu bora kuwahi tokea ulimwenguni.Khedira nani amemruhusu kuwepo kwenye hiyo picha?(the guy in a suit).
Hahahaa Atakuwa anatokea kilwa masoko kama si Mtwara.Huyu jamaa wa upande wa kulia wa Zidane anaitwa Hamidou Msaidie, ni French national. Huyu ni mmoja wa Real Madrid staff. Sasa hili jina la Msaidie sijui kalitoa wapi, sijui jamaa wa Kilwa huyu.
![]()
Jamaa aliumia kumoyo sana jana wakati anatoka kwa ajili ya injury aliyoipata, ila upande wetu wengi waliumia.COPE: Dani Carvajal has a serious leg injury and he could miss Euro 2016 this summer. #AnimoCarvajal
![]()
Mkuu!! mimi sikuweza kuangalia penalty kwa kweli, haswa wakati nimeona Vasquez ndio anaenda kufungua dimba, niliianama tu mpaka niliposikia shwangwe, kuangalia nikakuta Juanfran amekosa.. nilifurahi sana kwa kweli. Leo nimeangalia marudio!! zilipigwa penalty zenye akili kweli.., ninahisi walipractice kabla!!Zile penalties Jana niliona wataalamu watupu, yaani Vazquez, Marcelo, Bale, Ramos na Keylor alikuwa njiani kucheza moja. Yaani we acha Tu.
Navas anatosha De gea abakie huko huko
Zile penalty sio za dunia hiiMkuu!! mimi sikuweza kuangalia penalty kwa kweli, haswa wakati nimeona Vasquez ndio anaenda kufungua dimba, niliianama tu mpaka niliposikia shwangwe, kuangalia nikakuta Juanfran amekosa.. nilifurahi sana kwa kweli. Leo nimeangalia marudio!! zilipigwa penalty zenye akili kweli.., ninahisi walipractice kabla!!
Sure mkuu, zilikua za kiufundi sana kwa kweli, alaf Casemiro hakuangalia golini wakati Ronaldo anapiga penalty ya mwisho!!Zile penalty sio za dunia hii
Alafu kama uliangalia vizuri zote ni za staili
Inawezekana walizifanyia mazoezi, Oblak hakufata hata moja. Hatari!
Sure mkuu, zilikua za kiufundi sana kwa kweli, alaf Casemiro hakuangalia golini wakati Ronaldo anapiga penalty ya mwisho!!
Mkuu hapa ninaangalia vijana wanapiga tour, wametoka City Hall sasa wanaenda Regional government.., yaan kuna nyomi si kawaida..,Goddess Cybele cerebrating with usView attachment 351969
Cku ungi mkono kwa hilo
Lakin tunashukur kwa hongera yako