Noooooo mkuu, mimi nitabaki kuwa nabii wa kweli waulize mashabiki wangu wa man united nabii toxic9 watakuelezea, leo ligi ya laliga timu yangu niipendayo pia real Madrid sijaanza kazi ya unabii leo ila nimefurahi kuona kila mtu anafuraha niliyonayo mpaka machozi.....