Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #18,621
Naona Marcelo ndio kamuasili Ramos, baada ya Iker kuondoka. Halafu hawa wa-Brazil wetu mbona hawakai pamoja?
Kijana anapenda sana na atafurahi sana siku akipata nafasi ya kuvaa uzi mweupe, ila kwasasa atulie huko Dortmund kwanza, Sababu kuja pale kwasasa ni kuja kuua kipaji chake, tuna talent za kutosha.. Hebu fikiria club inampango wa ku exercise buy out clause ya Morata ili aje auzwe kwa dau kubwa zaidi. Tunaelewa mapenzi aliyonayo kwa Madrid but huu sio muda wake.Borussia Dortmund striker Pierre-Emerick Aubameyang predicts a 3-2 win for Real Madrid tomorrow. The guy is trying so hard, but Perez doesn't spot him.
![]()
Saa nyingine ninatamani hata hii game ingepigwa Leo tumalizane, mda mwingine Ninaona kama Kesho ni karibu sana..., #basi tu kwa homa ka mpambano!!32 hours to go.
Saa nyingine ninatamani hata hii game ingepigwa Leo tumalizane, mda mwingine Ninaona kama Kesho ni karibu sana..., #basi tu kwa homa ka mpambano!!