Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid players won't just play the Final to win the trophy, they want to win it for Zidane too. [as]

13256197_1232210313470393_6788622566043060345_n.jpg
 
Madridista from Munich is cycling all the way to Milan to get to the final.

CjcmOcFUYAAtrYP.jpg:large
 
Pele nyuma, nategemea Casemiro to put Griezmann, Torres and Saul in the pocket from saturday morning till next monday. Halafu Pepe na Ramos, wakiamua wasipewe RED card wanaweza kuilinda white shirt vizuri. Na huku pembeni kuna Carvajal na Marcelo,wanaweza kufanya tuka-enjoy summer vizuri.
Mkuu ninamtegemea sana Casemiro kufanya kazi kuntu sana pale katikati!! Uwezo wa kupambana na vijana wa Atletico anao, muhimu ni kujiepusha tu na Card za mapema. Kwa upande wa Ramos na Pepe wanajua ni nini cha kufanya !!
 
Mkuu hao wote, Pepe, Ramos na Casemiro wanafanana na card kabla game haijaanza. Tusubiri tuone tu
 
Back
Top Bottom