Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #18,441
Real Madrid want Dimitri Payet but will wait until after Euro 16 to make a move. [TalkSport]
Halafu angalia comments hapo chini, a respected aged man with a family doesn't deserve all of this. SMFH!
Hawa cules hata ikigundulika wanahusika na attacks zilizotokea Iraq kwa mashabiki wa Madrid, sitashangaa. Jamaa huwa sio wazima.
Hawa jamaa wanatuogopa kupita Maelezo, ndio maana shabiki wao hawawezi kuongea mambo yao bila kumhusisha Cr7 na Madrid kwa ujumla.Facts
![]()
Kweli man hawaaminiki hawa. Pita huko kwenye internet hawa watu wanatukana mpaka nashangaa kwanini man! Hii sio football tena, imekuwa aibu.
Ukishakuwa Giant wengi wakuzungukao lazima wawe na hasira/chuki dhidi yako kwa kuwa mioyo yao hujaa dhana ya inferiority complex.Kweli man hawaaminiki hawa. Pita huko kwenye internet hawa watu wanatukana mpaka nashangaa kwanini man! Hii sio football tena, imekuwa aibu.
Utashangaa kwa stats hizi bado watu wana mwazo na De geaKeylor conceded 0.82 goals/game in La Liga this season and it's the best rate of any Real Madrid goalkeeper in the past 20 years. [MARCA]
Perez kwa nnavo mfaham de gea ata nunuliwa tuuUtashangaa kwa stats hizi bado watu wana mwazo na De gea