Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #18,421
More than a club, no doubt. Barca really has got special people.
kuna wakat huwa hadi nacheka...yule shakira baada yakuona hawezi kumkaba jamaa uwanjani basi huwa anahamishia hasira zake nje....
Hahahahhaahahahhahahhahaha....aisee haters ni wengi sana kias kwamba hadi washabiki wa madrid wanaogopa kutoka kifua mbele...Tall, yaani tukichukua ubingwa wa UCL utakuwa mtamu sana man. Haters wengi sana man!
- Paris Saint-Germain have decided that Cristiano Ronaldo should be Ibrahimovic's heir. If it's not possible, Neymar's plan B. [CdS]
- Paris Saint-Germain are also keen on James Rodriguez and plan to make a €100m offer for the Colombian midfielder. [AS]