Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
HahahahWe unajiona mzima? Sababu ya kuja kuandika ni IPI? L.City anaihusu vipi Real Madrid?
Punguza hasira mkuu, ukichek kwa makini maana yangu utaijua
HahahahWe unajiona mzima? Sababu ya kuja kuandika ni IPI? L.City anaihusu vipi Real Madrid?
Hahahah
Punguza hasira mkuu, ukichek kwa makini maana yangu utaijua
Maana yangu there is something wrong, si jambo la kawaida kwa miaka minne mfululizo timu kama Real madrid inashindwa kuchukua ligiWewe umeshindwa kujua unachoandika Mimi nimekua Yesu nijue? Muwe mnafikiri hata kwa 1℅ ....jaribun kusumbua vichwa .... Usiandike ilimradi umeandika. Fuatilia maandishi yangu huko nyuma....sina kinyongo sina Chuki...nafaham Soka ni nini ndio maana ukaona watu wame cool hadi wana congrats .....utakua umenielewa
tatizo siyo kujua kuna ligi ngapi duniani, tatizo ni kwa nini tim hii haifanikiwi kushinda ligi yake ya ndani!!?Eti based on leagues sasa wewe unajua kuna ligi ngapi duniani? Miaka minane kombe moja ? Hujui Kama kuna timu hazijawah kabisa kuchukua? Again muwe mnafikiri......yaan jaribu kusumbua kichwa chako....usikae lazy lazy .....
tatizo siyo kujua kuna ligi ngapi duniani, tatizo ni kwa nini tim hii haifanikiwi kushinda ligi yake ya ndani!!?
Real madrid siyo timu ya kufananisha na timu ambazo hazijawah kuchukua,
It is suppossed to be the best club, the smart club
Chukua time tathimini kauli zangu, alafu punguza jazaba mkuu
Katika miaka 8, la liga 1 ebu focus apo, ujue kuna shda
Duuh!! Kwa hyo we hushangzwi, timu yako inapo kuwa ina shika namba 2 au 3 kila msimu!!!Kitu ambacho sijaelewa ni inakuaje unashangazwa na hilo jambo ..... Au unadhan Madrid wapo Sayar nyingine??? Yaan sijajua akili zako zina category Madrid upande UPI? Nadhani Una shida kidogo
Achana nao hao wamezoea kejeli na matusi.Kitu ambacho sijaelewa ni inakuaje unashangazwa na hilo jambo ..... Au unadhan Madrid wapo Sayar nyingine??? Yaan sijajua akili zako zina category Madrid upande UPI? Nadhani Una shida kidogo
Mi sija toa kejeli ninkujitathimini tuu, sasa na hakuna baya nlo lisema zaid ya kusema, lazma kuna ttzo kwa tim kukaa mda mrefu bila ubingwa wa ligiAchana nao hao wamezoea kejeli na matusi.
Kama walishindwa kukaa kimya kwenye uwanja wao kwa heshima ya legend wao, unategemea lipi?
Mi sija toa kejeli ninkujitathimini tuu, sasa na hakuna baya nlo lisema zaid ya kusema, lazma kuna ttzo kwa tim kukaa mda mrefu bila ubingwa wa ligi
Ni tim ambayo uwa naipenda tuu mkuu, sema tumetofautiana mawazo, Kitu ambacho ni kwaida kabsa kwa binadamuUna shida aisee ila uzuri ni kuwa sio Madridista. Anyways good lucky
Mkuu.. kuacha kutaja "Real Madrid" itakua hawajachukua ubingwa...I'm curious to see what he will say in the league celebrations. Wonder if he'll have a dig at Real Madrid. Has been pretty quiet lately.
....usiwe unaongea na watu wakiwa wanalia,subiri wamalize kulia kwanza!Hahahah
Punguza hasira mkuu, ukichek kwa makini maana yangu utaijua
Hahaha....usiwe unaongea na watu wakiwa wanalia,subiri wamalize kulia kwanza!