Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Cristiano Ronaldo's seasons scoring 50 goals or more:

- 2010/11: 53
- 2011/12: 60
- 2012/13: 55
- 2013/14: 51
- 2014/15: 61
- 2015/16: 50
 
Yule benitez anyang'anywe lesen ya ukocha kabisa...yaan hapa ndo pale ambapo mtu unakumbuka kuna mechi ilitakiwa uwe umeshinda...ila tukatoa draw
 
Ni ujinga kusubiri mwingine afungwe ili uchukue ubingwa. Hii league tungeshaimaliza zamani, sema mihemko tu, ngoja niangalie game tu.
So far we have put on a good fight regardless of today's results, kosa lilikuwa kumtoa Ancelloti na kumpa timu benitez maamuzi ya hovyo sana yale.
 
Complete domination in the first half.

13239457_1223435147681243_2963220411342180669_n.jpg
 
So far we have put on a good fight regardless of today's results, kosa lilikuwa kumtoa Ancelloti na kumpa timu benitez maamuzi ya hovyo sana yale.
Mkuu wadau walipiga sana kelele kuhusu kumpa Benitez team... ila uhispania ndio ulimpa nafasi ya kuchukua team....,
Lakini Perez idea yake ilikua ni kumpa Zidane team baada ya Ancelloti, sema sijui ni nin kilimkumba.
 
Back
Top Bottom