Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

soka la catulunya laelekea kibla na lazima wapotee miaka kibao tu

Hawawezi kupotea kirahisi hivyo. Hata sisi tulipitia hali kama yao ya sasa, msimu ulioisha baada ya club world cup. Bado jamaa wana vikombe viwili katika control yao, wakiamua wanabeba.
 
Hawawezi kupotea kirahisi hivyo. Hata sisi tulipitia hali kama yao ya sasa, msimu ulioisha baada ya club world cup. Bado jamaa wana vikombe viwili katika control yao, wakiamua wanabeba.

si maanishi hawawezi kubeba makombe ni lile soka lao naona linapotea hii ni kitokana kariba ya wachezaji wanaotaka kuchukua namba za waliotangulia angalia pengo la xav lipo wazi na iniesta jua linazama alves pes ishapungua
 
Jamaa kaz wanayo
 
Attachments

  • 1460967664612.jpg
    1460967664612.jpg
    74.1 KB · Views: 27
si maanishi hawawezi kubeba makombe ni lile soka lao naona linapotea hii ni kitokana kariba ya wachezaji wanaotaka kuchukua namba za waliotangulia angalia pengo la xav lipo wazi na iniesta jua linazama alves pes ishapungua

It's only natural kila kizuri kuisha. Kweli style yao ya pasi nyingi inapoteza umaarufu (sio mara ya kwanza), ila wataendelea kuwa kati ya clubs bora. And that's what matters the most.
 
si maanishi hawawezi kubeba makombe ni lile soka lao naona linapotea hii ni kitokana kariba ya wachezaji wanaotaka kuchukua namba za waliotangulia angalia pengo la xav lipo wazi na iniesta jua linazama alves pes ishapungua
Sawa kabisa Uchambuzi wako ni kweli bado wazuri lakini hayo mapengo ndio watu waliokuwa wanafanya barca iwe nzuri sasa kumpata mrithi wa architecture(xavi)bado ni ndoto na ukitizama back line yao ilikuwa inalindwa na umilikaji mpira na tumeona mechi hizi jinsi ilivyo mbovu.
Ukiwakamata kati ule utatu wao unakosa nguvu
 
Without dropping the points at the start of the season vs. Sporting and Malaga, we could be leaders right now.
The fact we're in the semifinals and only one point away from the leaders shows the improvement we've had under Zidane.
After the deplorable first-half of the season we had under Benitez, it's actually a miracle we're in such competitive positions.

The league season could take a huge turn this Wednesday. Atletico, Barça, and Real Madrid all face pretty decent competition. Villarreal will be tough, but at least we're at home. I can see Athletic Bilbao beating Atletico. Barça have it easiest against Deportivo.
Deportivo aren't exactly easy though. Only lost four times at home this season, and Barça's form is at an all-time low.
 
When Zidane took charge of Real Madrid he had many doubters due to his inexperience as a manager.

Since then, Zidane has proved all of his doubters wrong, and has the full support of the fans, the team, and the board of the club.[MARCA]

CgUZ9zCW8AAGM1_.jpg:large
 
We don't have to forget that Real Sociedad and Valencia have defeated the Catalans and we still have to play against them in upcoming league matches. These are very important and tough fixtures. ‪#‎HalaMadrid‬
 
Gracias Los Che. Huge favor, you did us. Now all up to us, not to mess up. Vamonos chicos!

It will be very difficult from here onwards since now we have to win every game, I think we were winning league games because we didn't had any pressure to win the league 3 weeks ago, but ever since the Catalan-side started to fumble we are under pressure again, now we can't even rest our best players in small games. Let's hope for the best, and may we win the league.
 
Back
Top Bottom