Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Wale jamaa bana wana game changers na consistent players wengi. Sio wepesi kiivyo.
Mtazamo wangu ubora wa timu unatokana na ubora wa safu ya ulinzi na jins gan wanaweza zuia kufungwa as team....kwa sababu unaweza kuwa na safu nzuri ya ushambuliaji ila ukawa na ulinzi mbovu matokeo yake unapokutana na timu yenye ulinzi mzuri inaweza kukitandika magoli machache na hiyo safu ya ushambuliaji nzuri isifurukute....ninawapa 100% atletico kupita dhidi ya bayern kwa sababu ya ubora wa safu ya ulinzi ya atletico.....hata simeon anajua kabisa kiburi chake kinatokana na ubora wa ulinzi siyo safu ya ushambuliaji....
 
Atletico anapita na kuingia fainali lakini hatachukua kombe.football is determined by history
 
Full Time: Real Madrid U17 3-4 Al Hilal U17 [@DubaiSC]

CgGk5ScXEAAvbC3.jpg:large
 
Cristiano Ronaldo has gone from 0 goals and 1 assist in eight games, to 9 goals and 2 assists in 8 games against similar opponents. [GOAL]
Wakati team ipo chini ya Benitez Wachezaji wetu walikua hawajitumi kabisa, kasoro Bale Casemiro, Navas na Lucas., saa nyingine ninaona kama wachezaji ndio walimfukuzisha kazi jamaa., Ila sasa hiv kila mmoja anaonekana ana furahi na wana enjoy kucheza hata kama mtu yupo bench, akipewa nafasi anajitahid! !
 
What a LOGIC! And this guy works for Sky Sports and AS

13007117_1202891936402231_9108283894059783680_n.jpg
 
Rumour:

Isco’s agent and father Paco Alarcon confirmed there is interest from Juventus, but for now no official offers. He would like to stay at Real Madrid.

The attacking midfielder has long been suggested as Max Allegri’s number one choice for the trequartista role behind the strikers.

“Yes, there is interest from Juventus, The Bianconeri are tracking him, but for now there have been no official offers."

“My son is focused only on ending the year well with Real Madrid, where he would like to stay next season too. He is already at one of the top clubs in the world.” [Source Tuttomercatoweb]


13001260_246355299051878_1203013837685745461_n.jpg
 
The players that Zidane wants to keep at any cost:-

1.Keylor Navas.
2. Raphael Varane.
3. Pepe.
4. Sergio Ramos.
5. Danilo.
6. Casemiro.
7. Cristiano Ronaldo.
8. Toni Kroos.
9. Karim Benzema.
10. Luka Modric.
11. Gareth Bale.
12. Marcelo.
13. Jese Rodriguez.
14. Lucas Vazquez.
15. Daniel Carvajal.

[Source Fichajes.net]
 
The players that Zidane wants to keep at any cost:-

1.Keylor Navas.
2. Raphael Varane.
3. Pepe.
4. Sergio Ramos.
5. Danilo.
6. Casemiro.
7. Cristiano Ronaldo.
8. Toni Kroos.
9. Karim Benzema.
10. Luka Modric.
11. Gareth Bale.
12. Marcelo.
13. Jese Rodriguez.
14. Lucas Vazquez.
15. Daniel Carvajal.

[Source Fichajes.net]
Danilo and Lucas are useless..
 
Pellegrini feels he was despised by Florentino Perez and wants to prove that the president made a mistake by sacking him. [COPE]
 
Zidane will rotate the squad against Getafe. Sergio Ramos and Casemiro will be rested. Danilo won't travel as he's suspended. [COPE]
 
Ni jambo jema sana kuwapumzisha, ingewezekana na Modric angepumzika, ili wawe fresh game inayofuata dhidi ya Villarreal.


Nategemea kuona squad line nyingine leo. Wanasema James - Kovacic - Isco watacheza middle, kule mbele atakuwepo Cristiano, sijui na nani. Lakini naona Real Madrid kwenye page yao wameweka picha ya Vazquez ni dalili kwamba atapewa winga leo.
 
Back
Top Bottom