In other way ni kama dongo pia...Zinedine Zidane: "At the end, there's only one winner. I won't talk about Barcelona because I don't like it when people suffer." #Gentleman
![]()
Pep wanampa sifa ambazo zinazidi kiwango sana...ni kocha wa kawaida sana ambaye unaweza mfananisha na mwanafunz anayekariri sana...hana plan B...ni kocha ambaye timu yake kuifunga ni rahisi sana....binafsi nlikuwa naomba tukutane na bayern au city...bayern nina uhakika wakuifunga nje ndani tena bila wasiwasi....ukiangalia bayern utaona ni timu rahisi sana kuifunga na pia ni rahisi sana kuwazuia ukiwakamata kina vidal na alonso....timu ishakufa tayar unajipigia tu....Mimi pia. I always think Pep is somehow overrated. That's the game worthy of a final.
Pep wanampa sifa ambazo zinazidi kiwango sana...ni kocha wa kawaida sana ambaye unaweza mfananisha na mwanafunz anayekariri sana...hana plan B...ni kocha ambaye timu yake kuifunga ni rahisi sana....binafsi nlikuwa naomba tukutane na bayern au city...bayern nina uhakika wakuifunga nje ndani tena bila wasiwasi....ukiangalia bayern utaona ni timu rahisi sana kuifunga na pia ni rahisi sana kuwazuia ukiwakamata kina vidal na alonso....timu ishakufa tayar unajipigia tu....