Rapherl
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 3,504
- 2,256
Alberoa anamiaka 33, Pique 29...Ila Mara nyingi pique ndio anakua mchokozi, jamaa huwa anapenda sana Yale matusi anayokua anatukanwa na fans wa Madrid kwake yeye ndio huona fahali, ila nae huyu dogo arbeloa naona ameamua awe maarufu kupitia social media baada ya kuona uwanjani pagumu.
Pique Bernabeu anakiherehere sana...