Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #16,421
Bernabeu was applauding Casemiro. Amazing.
Sawa kabisa...upo sawa na benchi la ufundi....kwa muamko huu me nakuambia hiyo jumanne shughul wanayo
Good decision, nilikuwa nategemea hii
Danilo anazingua sana lakini.All these whistles for every touch of Danilo. Fans are sometimes cruel!
Hahahahhahahahahah.....mtangazaji anakuambia madrid wapo kwenye "energy saving mode"...
Watu wana hasira nao sanaNdio, wanasema, "test of Germany flavor".
Nacho leo kaamka vzr...nae kama homa za vipindiWhat a match from Nacho. He's been defensively exquisite.
Usimseme, fanboys watakuita kilaza!
inamaana jamaa akiboronga asisemwe?