Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #16,161
Madrid wameanza mchezo wa kutafuta kuonewa huruma na refa. Timu kubwa kama hii aibu sana. Alianza ronaldo naona sasahivi kaanza tena marcelo
Hv huyu danilo huwa nani anapendekeza apangwe
Eti...?Dalili zinaonyesha ni ngumu sana kwa wolfsburg kuhold ushindi wao.