Daniel Cleverest
Senior Member
- Sep 27, 2014
- 105
- 123
Sio kwamba game ilikua mbovu.., ni nyie (Barca) mlikosa plan B, kama Madrid walikua wanadefend ni nini kiliwanyima kutushambulia.. hata baada ya kubaki 10 bado hamkuonekana kuwa na njia mbadala.., Zidane amemzid Luis kiufundi!!Mkuu game ilikuwa slow sana. Naamini kwa uchezaji ule wachezaji wangeweza hata kucheza dk 180. Niambie ni mchezaji gani alieonyesha kuchoka. Wachezaji walikuwa wakikimbia wakati madrid wakiwa na mpira. Mmepata ushindi lakini game ilkuwa mbovu.
kaka umetisha yani leo nimefurahi hakuna tumeweka hwshima camp nouMkuu wala usiogope na hakuna sababu ya kukata tamaa, sioni tukifungwa leo kabisa. Ninaimani tutashinda! !
Mkuu hao watu, kidogo akili zao sio nzuri, ndio maana unaona hakuna anaohangaika nao humu..,Wakimbizi wote wako wapi? Acheni kuvamia thread ambazo haziwahusu.....sasa mnaona mmeumbuka???? Hala Madrid
Dah! Sikuwa na matumaini kabisa kama tungetoka hata na draw, na game niliikosa. But grande Zizou and el chicos. Feels so great to deny those guys their almost perfect season. Hasta el final.
Toa upumbavu wako hapa!! Tumewazidi kwa mbinu na kuwakamata dkk 20 za mwisho japo refa amewabeba na mmekula za uso tu. Ongea lingine si ushuzi wako huuHii game nimeiangalia kwa umakini mkubwa sana. Barcelona wamecheza chini ya kiwango walichofanikiwa zaidi ni kumiliki mpira ila mashambulizi yalikuwa 0.Casemiro huyu jamaa sijui kwa nini Banitez alikuwa anamkalisha benchi. Kwa kifupi hii classico ndio mbovu kuwahi kuiona. Btw..
Hongereni kwa ushindi
Kaka we acha tu leo wanabahati sana hawa barca tungeweka heshima yakutosha[23:43, 4/2/2016] Daniel Cleverest: MSN halafu anakuja kufunga beki
[23:43, 4/2/2016] Daniel Cleverest: BBC news wote watatu wametia kamba
[23:44, 4/2/2016] Daniel Cleverest: Na ile nondo ya Ronaldo hadi Zidane akapandisha midadi ingeingia
[23:44, 4/2/2016] Daniel Cleverest: Na lile goli la bale alilonyimwa
[23:45, 4/2/2016] Daniel Cleverest: Na bila ile kadi nyekundu
[23:45, 4/2/2016] Daniel Cleverest: Na lile bale alopiga ikaishia katikati ya safari kuelekea golini
[23:46, 4/2/2016] Daniel Cleverest: Na lile la waaaaaaazi kabisa alokosa Pepe dakika ya tisini
[23:46, 4/2/2016] Daniel Cleverest: Na lile alopaisha benzema
mkuu achana nae hajui mpira huyo.Toa upumbavu wako hapa!! Tumewazidi kwa mbinu na kuwakamata dkk 20 za mwisho japo refa amewabeba na mmekula za uso tu. Ongea lingine si ushuzi wako huu
Casemiro hajawahi kutuangusha man, nilikua ninaomba tu asipewe card ya njano kipnd cha kwanza., amenifurahisha amecheza kwa nidhamu sana.., Ile ni hazina kubwa tuliyokua nayo kwasasa! ! ....#HalaMadridCassimiro alivyompoteza messi...
Daah
Hahaha.. Nilijikuta tu ninacheka. Nilidhani Zizou alitaka kupiga sarakasi!!Ronaldo bhana kuna muda Aliachia muwa ukamdondosha kipa wa Barcelona na Zidane nae chali kwa midadi
Sawa mkuu nimekusoma.mkuu achana nae hajui mpira huyo.