Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #15,681
Kwa upande wangu, nitaomba hili jambo litokee, tuna vijana wetu wenye uwezo mzuri tu, huku Morata anatuumiza kichwa, Borja na yeye anakuja, bado Mariano..,afadhali akabaki huko huko..
Tunatakiwa kutoa pesa kununua left back tu, kwanza hii ni baada ya yule kijana wa Kibrazil kupata majeruhi mara kwa mara, hizo sehemu nyingine tuangalie jinsi ya kuchomeka vijana wetu.
Am happy to see him in Madrid shirt again....Madridista
Instagram | Roberto Carlos
I prefer Varane anytime for Pepe...Many people sugest playing Pepe ahead of Varane in El Clasico will cost us big time in Clasico.
Hope Zidane goes with the frenchmen!
Am not cryingLEGEND visited the Real Madrid City
Hahaha.., mwenyew ningemchagua Verane over Pepe. Pepe kama kiwango kimeshuka kidogo, pia speed hana., sema experience yake inahitajika saa nyingine.,I prefer Varane anytime for Pepe...
Na ile miguu mirefu ka twiga
Unapaswa kumchukia Perez yeye ndiyo alimleta MourinhoAm not crying
Ila picha kama hizi huwa zinanifanya nimchukie sana Mourihno
Guti na Raul ni watu nilikuwa nikiwapenda sana japo Guti alitukosti sana na kadi zake za mara kwa mara ila mapenzi yake kwa timu hayana mfaano....the pass master himself Guti hernandez
Mkuu Cesar Caspar ,Hahaha.., mwenyew ningemchagua Verane over Pepe. Pepe kama kiwango kimeshuka kidogo, pia speed hana., sema experience yake inahitajika saa nyingine.,
Kiukweli Perez huwa simuamini sana hasa usajili wake wa hivi karibuniUnapaswa kumchukia Perez yeye ndiyo alimleta Mourinho
Ningependa Varane angeanza badala ya Pepe.
Zinedine Zidane will reportedly field a previously unused starting XI in the upcoming El Clasico match with Barcelona at the Camp Nou.
Buyern sio vichaa mbka walipe kiasi chote icho kwa babu pepeRumour Mill:
Carlo Ancelotti wants to bring 33 year old Real Madrid defender Pepe to Bayern Munich.
It is reported that the Bavarians are willing to pay €10m, [Source OK Diario]