Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Marcelo really needs to work on his positioning, last night was a disastrous performance by his standards he left so much space on the left flank that Ramos had to cover whole of the left side, we were so lucky that we didn't conceded.

Given that he had just came back from the injury, let's give him a break. Besides, defending has never been his thing, we are forcing him. Attacking is his forte.
 
Marcelo really needs to work on his positioning, last night was a disastrous performance by his standards he left so much space on the left flank that Ramos had to cover whole of the left side, we were so lucky that we didn't conceded.
Ninadhani Zidane aliona hiyo kitu ndio maana aliamua kumwanzisha Danilo badala ya Dani, ndio maana saa nyingine tunalalamika kua beki zetu sio huku mara nyingi tukizielekeza lawama zetu kwa centre backs zetu, ila ukweli ni kwamba wanazidiwa., so Jana Zidane alifanya maamuzi ya busara sana, plus Casemiro na yeye aliongeza ulinzi sana. Hata wakati wa Ancelloti, kwenye game za aina ya akina Roma na Atletico alikua anapenda kumwanzisha Fabio..,
 
Respect

12512435_1170790972945661_5436778109592645246_n.jpg
Ile stand ovation aliyopewa Totti jana pale Bernabeu nilijisikia kusisimka, he truly deserved that., jamaa ameitumikia Roma kwa mda mrefu kweli kweli..
 
Keylor Navas has endured eight Champions League games without conceding a single goal. The Real Madrid keeper becomes the first Champions League goalie to achieve such a feat in their first 720 minutes of the prestigious tournament.

14574799148777.jpg
Sioni sababu ya kumganda De gea mbele ya Nazas
 
De Gea ni more of a political move, na nai-support. Navas anastahili kuwa Madrid, ila De Gea ndio future Spanish No. 1 & Captain. Tunahitaji more spanish power houses kama yeye.
 
De Gea ni more of a political move, na nai-support. Navas anastahili kuwa Madrid, ila De Gea ndio future Spanish No. 1 & Captain. Tunahitaji more spanish power houses kama yeye.
hatumuuziiiii, undugu ushakufa long !!!!!!!! DDG Man U forever........best Mbona tena mnazomea zomea kinda yetu Huko?? Kunaniiii!!!!! .........missing u mpka naumwa.....lol
 
Ile stand ovation aliyopewa Totti jana pale Bernabeu nilijisikia kusisimka, he truly deserved that., jamaa ameitumikia Roma kwa mda mrefu kweli kweli..

Santiago Bernabéu heshima nyingi, hawa ni wachezaji waliopewa standing ovation kabla ya Totti

12790851_1170919282932830_6636350224682409995_n.jpg
 
Cristiano Ronaldo: "Lucas Vázquez did what we've grown used to seeing."

"Lucas Vazquez is playing really well, he's a fighter and when he comes on to the pitch he offers the team a lot."

12718058_1170920416266050_3511753067060803664_n.jpg
 
Real Madrid will give Navas a considerable salary raise at the end of the season & his contract will be extended till 2020 [@partidodelas12]
 
hatumuuziiiii, undugu ushakufa long !!!!!!!! DDG Man U forever........best Mbona tena mnazomea zomea kinda yetu Huko?? Kunaniiii!!!!! .........missing u mpka naumwa.....lol

Hahaha. Atakuja tu. Nani anapenda kucheza Europa?

Jamaa yenu yule anazingua sana. Ubinafsi mwingi. Kila kiwanja anazomewa.

Nimekumiss sana pia, sijui ulijificha wapi.
 
Back
Top Bottom