Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #15,161
Roma are looking dangerous on the counter; specially down the wings.
Wanatumia speed ya Salah., anampa Ramos wakati mgumu sana, 2nd half akiingia Verane itakua poa sana sababu na yeye ana speed pia..., so far James ndio hasomeki mle ndani.. ila wengine alijitahid kadri ya uwezo wao..Roma are looking dangerous on the counter; specially down the wings.
Wanatumia speed ya Salah., anampa Ramos wakati mgumu sana, 2nd half akiingia Verane itakua poa sana sababu na yeye ana speed pia..., so far James ndio hasomeki mle ndani.. ila wengine alijitahid kadri ya uwezo wao..
Lately CR anacheza vizuri kaacha kupoteza mipira kizembe