xYz07
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,077
- 5,918
Mkuu Lucas sio RM material, alizingua sana kipindi kile modric ni majeruhi, nadhani ndio kilichokua kimepelekea hadi Carlo kuanza kumpanga ramos kama mid,Fabio na Lucas ni wazuri wangebakizwa kutokea bench.